Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sisi bado ni sokwe kwenye bara la 🍑holeSisi bado sana kuwa binadamu kamili
Sisi bado ni sokwe kwenye bara la 🍑holeSisi bado sana kuwa binadamu kamili
Nyie, mimi ni tumbili😆Sisi bado ni sokwe kwenye bara la 🍑hole
Ndiomaana alikuita shithole baada ya kugundua bado kuna wapumbavu mnaomuona yeye ni mungu mtu wenu.usituingize waafrika kwenye mambo yasiotuhusu, D.Trump hataki muslims na siyo waafrika au black people in general, hivyo usitake kutuingiza kwenye mambo yasiyotuhusu, hii ni ishu ya muslims na siyo yetu.
wanaofanya fujo na kuchoma ulaya moto ni muslims, wanaofanya ugaidi dunia nzima ni muslims, wanaofanya uhalifu na udanganyifu USA kama illhan omar ni muslims, hivyo siyo ugomvi wetu waafrka na usitake kutuunganisha, sisi hatuna shida na D.Trump na wala hana tatizo na black people, kwanza D.Trump is protecting Christians against islamists in nigeria waliokuwa wanaua Christians kila siku, muslim jhadists wameua > 55 000 Christians in nigeria lkn tangia Trump ameingia uslishasikia boko haram wameua au kuteka Christiians tena nigeria? ...
Sisi sio maboya ndiomaana Trump anatuhofiaKati ya aliyetawaliwa,kuporwa rasilimali,kutumikishwa kipunda,kufanyiwa kila aina ya uonevu na unyonyaji na anyetawala "dunia",nani boya hapo?Kama haitoshi, aliyetawaliwa na kufanywa mtumwa,badala abaki nchini mwake anaenda kujisalimisha kwa watesi wake.Huo siyo uboya?Kama waafrika waliibiwa na mabeberu,mbona wanarudishiwa kwa njia ya misaada na kuzisaidia serikali zao? Afrika iache kujilalamisha na kutafuta vichaka kujibanza kwa ujinga wake.
Vipi huku kwenu nyie mna rais wa sampuli gani, ama kweli nyani haoni kundule. Who Are You...!!!!Marekani ndio taifa ambalo hata mbuzi anaweza kuliongoza kikubwa awe anajua kusaini tu. Unakumbuka jinsi Biden alivyokuwa anamsahau hata mkewe, lkn kaiongoza Marekani miaka mi4.
Kinachowasaidia ni mifumo tu.
Kati ya aliyetawaliwa,kuporwa rasilimali,kutumikishwa kipunda,kufanyiwa kila aina ya uonevu na unyonyaji na anyetawala "dunia",nani boya hapo?Kama haitoshi, aliyetawaliwa na kufanywa mtumwa,badala abaki nchini mwake anaenda kujisalimisha kwa watesi wake.Huo siyo uboya?Kama waafrika waliibiwa na mabeberu,mbona wanarudishiwa kwa njia ya misaada na kuzisaidia serikali zao? Afrika iache kujilalamisha na kutafuta vichaka kujibanza kwa ujinga wake.
Netanyahu kaliingiza boya Trump chaka halaf yeye kaingia mitini.Nilichoka Marekani anawalaumu Ulaya kutomsaidia kuifungua Hormuz wakati yeye ndo kaanzisha vita isiyo na sababu hata kidogo iliyopelekea kufungwa kwa Hormuz.
Walovamia Afghanistan walovamia Iraq walovamia libya walovamia syria na walovamia iran ni hao wauaji magaidi ya kizunguusituingize waafrika kwenye mambo yasiotuhusu, D.Trump hataki muslims na siyo waafrika au black people in general, hivyo usitake kutuingiza kwenye mambo yasiyotuhusu, hii ni ishu ya muslims na siyo yetu.
wanaofanya fujo na kuchoma ulaya moto ni muslims, wanaofanya ugaidi dunia nzima ni muslims, wanaofanya uhalifu na udanganyifu USA kama illhan omar ni muslims, hivyo siyo ugomvi wetu waafrka na usitake kutuunganisha, sisi hatuna shida na D.Trump na wala hana tatizo na black people, kwanza D.Trump is protecting Christians against islamists in nigeria waliokuwa wanaua Christians kila siku, muslim jhadists wameua > 55 000 Christians in nigeria lkn tangia Trump ameingia uslishasikia boko haram wameua au kuteka Christiians tena nigeria? ...
Walovamia Afghanistan walovamia Iraq walovamia libya walovamia syria na walovamia iran ni hao wauaji magaidi ya kizungu
Kwahio endeleeni kua wapole na kutegemea waarabu zaidi huko kwenu uzunguni
Safi sana waarabu!!!
Tipu Tipu hakuwapeleka ulaya.Tipu Tipu alipajuaje Ulaya? Na bila connection angewapelekaje watu?
Tumia akili
Anaekamatwa na ngozi ndio mwizi wa ng'ombe.Tipu Tipu hakuwapeleka ulaya.
Alikuwa anawatoa bara anasafirisha hadi Bagamoyo, anawavusha hadi Zenji kwenye soko la watumwa, anawauza kwa waarabu wenzake ambao walikuwa wanapakia kwenye majahazi na kuwapeleka Uarabuni
We unafikiri Tipu Tipu na kundi lake walikuwa wanawinda na kukamata Waha, Wanyamwezi, Wagogo, nk bila kuuwa? Ukweli ni kwamba waliua kwa wingiAnaekamatwa na ngozi ndio mwizi wa ng'ombe.
1. Kinjekitile Ngwale aliuwawa na wazungu
2. Chief Mkwawa aliuwawa na wazungu
Na wengine wengi tu
Hata hayo yanayo kuhusu pia huyaongeleihayo ni mambo ya wazungu vs arabs sisi hayatuhusu, sisi (waafrika) black people, hatujavamia arabs wala afghanstan, na wala hatuna ugomwi na D.Trump na USA hivyo msituingize kwenye ugomvi wenu, hautuhusu ...
Hata hayo yanayo kuhusu pia huyaongelei
Jamhuri ya afrika ya kati waliuliwa maelfu ya waislam ukakaa kimya
Rwanda waliuliwa malaki ya wakristo tena kanisani kisa waliuliwa na wenzao hugusii
Wewe haya kuhusu ila kutwa kuyaongelea mbona kama yanakutesa hv
Waarabu wanatakiwa waende kwa wingi sana huko kwa wazungu yaani wakiminike wakutosha kabisa
Muafrika uingizwe kwenye nini 😁🤣😁sawa, waache waende wajazane wagombane whatever siyo shida yetu sisi waafrika kama blak people hilo ni juu ya wazungu kuamua lkn msituingize sisi waafrika na black kwenye huo ugomvi (rejea mada) hautuhusu, sisi hatuna ugomvi na D.Trump, USA ...
Muafrika uingizwe kwenye nini 😁🤣😁
Nyie wenyewe mpaka leo karne ya 21 hata huduma za msingi hamujawahi kua nazo
Dt hana shida na waafrika ana shida na waislam kwanza pili anashida na waislam tatu ana shida na waislam
Nne ndio ana shida na waafrika tena baadhi
Na wanawachukia waislam baada ya kuwaua sana kuwatesa sana sasa wanaanza kuwachukia na kutaka kuwatenga
Ila tu ubaya nikwamba hawawezi maana walijua wakiwavamia waislam huko Makawao ndio watauua uislam
Hatimae sasa uislam unaanza kupiga hodi majumbani mwao kwa kishindo kizito kabisa
Wewe uliisoma kabla ya kuchangia ulicho changia???umeisoma hii mada kwanza inausu nini kabla ya kuandika ulichoandikka? ...