Trump ni boya, acha wenye akili tumwambie ukweli

Trump ni boya, acha wenye akili tumwambie ukweli

Tipu Tipu hakuwapeleka ulaya.
Alikuwa anawatoa bara anasafirisha hadi Bagamoyo, anawavusha hadi Zenji kwenye soko la watumwa, anawauza kwa waarabu wenzake ambao walikuwa wanapakia kwenye majahazi na kuwapeleka Uarabuni
Huyo sio mtawala sasa. Huyo ni middle man wa biashara ya utumwa. Na usisahau kuwa watumwa wengine walikua wanapelekwa kwenye route ya Trans Atlantic slave trade aliyeianzisha Columbus Christopher.
 
Anaekamatwa na ngozi ndio mwizi wa ng'ombe.

1. Kinjekitile Ngwale aliuwawa na wazungu

2. Chief Mkwawa aliuwawa na wazungu

Na wengine wengi tu
Achana naye huyo. Kwanza nimemuona kiazi kwa kumuita Tippu Tippu mtawala. Ilhali alikua mfanyabiashara ya watumwa tena akiwauzia watumwa hadi wazungu. Na aliyefungua milango ya biashara kubwa ya utumwa ni huyo huyo mzungu. Tena hao kina Tippu Tippu walikua wakiwahonga machifu dhaifu ili wawapatie watumwa. Anakuja kufananisha na mzungu aliyetutawala kivungu,aliyevunja miji yetu ya kale na ustaarabu wetu wa mwanzo,aliyekua akiweka utengano na ubaguzi kwenye huduma huku whites only kule black. Ufaransa,Ubelgiji waCongo walikua wakipelekwa na kuwekwa kwenye zoo kwaajili ya maonesho kama wanyama. Mwisho hii iliishia 1959 wengine wapo hai wakiugulia ile fedheha.
 
Maelezo mareeefu pumba tu
Ndo maana tukaitwa SHIT HOLE COUNTRIES
Licha ya kua na Rasilimali za kutosha bado tuna tegemea misaada kutoka kwa uyo uyo unae muita Boya sasa hapo nani Boya kama sio wewe ?
 
Huyo sio mtawala sasa. Huyo ni middle man wa biashara ya utumwa. Na usisahau kuwa watumwa wengine walikua wanapelekwa kwenye route ya Trans Atlantic slave trade aliyeianzisha Columbus Christopher.
Hayo hayajui. Mwenzako kakaririshwa story za vijiweni tu
 
Akuna mtu mwenye akili akajiita 6 pack ww ni boya tu kama maboya wengne
 
Uwe rais wa USA afu uwe boya?

Labda Tz ndo unaweza kuwa rais na ukawa boya mana Tz imejaa mazwazwa
Trump ni boya ipo siku dunia itamkumbuka kama anavyokumbukwa Hitler.
Wakati Hitler anaanza hakuna aliyemwona kama atakuja kuleta maafa wala watu hawakuwa tayari kumwambia ukweli.
Serikali ya Marekani Trump anaiendesha kama za kiafrika. Ana machawa wanamsifu na kumwabudu kama kwetu. Viongozi wa dini wanasema katumwa na Mungu. Wateule wake hawatou hutuba bila kumtaja kuwa ni yeye kafanya hivi, kafanya vile kama kwetu.
Kila kitu anakipa jina lake.
Toka kaingia madarakani ametumua nafasi yake kujinufaisha yeye na familia yake.
Ukienda kinyume naye, kama ni mfanyabiashara anakufilisi. Refer Elon Musk alivyotofautiana naye akatishia kuvunja mikataba kati ya makampuni yake na serikali elon aka chicken out.
Amedouble deni la taifa ila yeye na utawala wake wanamlaimu Biden kwa kila kitu.
Yeye ndiye mjua kila kitu hadi anapingana na vyombo vyake vya usalama. Mfano yule mama aliyekuwa mkuu wa CIA alisema Iran bado haijaweza kufikia kutengeneza bomu la nyuklia kwa taarifa walizo nazo, yeye akaja akasema hajali wanasema nini yeye anajua tayari wana uwezo huo.
Yani ni mengi tu ...
 
Watu Wenye akili nyingi kama mimi na wewe tupo wachache san. I hope jamaa kama akili yake ipo huru basi atakuwa amekuelewa
 
Back
Top Bottom