Trump ni boya, acha wenye akili tumwambie ukweli

Ndiomaana alikuita shithole baada ya kugundua bado kuna wapumbavu mnaomuona yeye ni mungu mtu wenu.
 
Sisi sio maboya ndiomaana Trump anatuhofia
 
Marekani ndio taifa ambalo hata mbuzi anaweza kuliongoza kikubwa awe anajua kusaini tu. Unakumbuka jinsi Biden alivyokuwa anamsahau hata mkewe, lkn kaiongoza Marekani miaka mi4.

Kinachowasaidia ni mifumo tu.
Vipi huku kwenu nyie mna rais wa sampuli gani, ama kweli nyani haoni kundule. Who Are You...!!!!
 
Nilichoka Marekani anawalaumu Ulaya kutomsaidia kuifungua Hormuz wakati yeye ndo kaanzisha vita isiyo na sababu hata kidogo iliyopelekea kufungwa kwa Hormuz.
Netanyahu kaliingiza boya Trump chaka halaf yeye kaingia mitini.
 
Walovamia Afghanistan walovamia Iraq walovamia libya walovamia syria na walovamia iran ni hao wauaji magaidi ya kizungu
Kwahio endeleeni kua wapole na kutegemea waarabu zaidi huko kwenu uzunguni
Safi sana waarabu!!!
 
hayo ni mambo ya wazungu vs arabs sisi hayatuhusu, sisi (waafrika) black people, hatujavamia arabs wala afghanstan, na wala hatuna ugomwi na D.Trump na USA hivyo msituingize kwenye ugomvi wenu, hautuhusu ...
 
Tipu Tipu alipajuaje Ulaya? Na bila connection angewapelekaje watu?

Tumia akili
Tipu Tipu hakuwapeleka ulaya.
Alikuwa anawatoa bara anasafirisha hadi Bagamoyo, anawavusha hadi Zenji kwenye soko la watumwa, anawauza kwa waarabu wenzake ambao walikuwa wanapakia kwenye majahazi na kuwapeleka Uarabuni
 
Anaekamatwa na ngozi ndio mwizi wa ng'ombe.

1. Kinjekitile Ngwale aliuwawa na wazungu

2. Chief Mkwawa aliuwawa na wazungu

Na wengine wengi tu
 
Anaekamatwa na ngozi ndio mwizi wa ng'ombe.

1. Kinjekitile Ngwale aliuwawa na wazungu

2. Chief Mkwawa aliuwawa na wazungu

Na wengine wengi tu
We unafikiri Tipu Tipu na kundi lake walikuwa wanawinda na kukamata Waha, Wanyamwezi, Wagogo, nk bila kuuwa? Ukweli ni kwamba waliua kwa wingi
 
hayo ni mambo ya wazungu vs arabs sisi hayatuhusu, sisi (waafrika) black people, hatujavamia arabs wala afghanstan, na wala hatuna ugomwi na D.Trump na USA hivyo msituingize kwenye ugomvi wenu, hautuhusu ...
Hata hayo yanayo kuhusu pia huyaongelei
Jamhuri ya afrika ya kati waliuliwa maelfu ya waislam ukakaa kimya
Rwanda waliuliwa malaki ya wakristo tena kanisani kisa waliuliwa na wenzao hugusii
Wewe haya kuhusu ila kutwa kuyaongelea mbona kama yanakutesa hv
Waarabu wanatakiwa waende kwa wingi sana huko kwa wazungu yaani wakiminike wakutosha kabisa
 
sawa, waache waende wajazane wagombane whatever siyo shida yetu sisi waafrika kama blak people hilo ni juu ya wazungu kuamua lkn msituingize sisi waafrika na black kwenye huo ugomvi (rejea mada) hautuhusu, sisi hatuna ugomvi na D.Trump, USA ...
 
Muafrika uingizwe kwenye nini ๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿ˜
Nyie wenyewe mpaka leo karne ya 21 hata huduma za msingi hamujawahi kua nazo
Dt hana shida na waafrika ana shida na waislam kwanza pili anashida na waislam tatu ana shida na waislam
Nne ndio ana shida na waafrika tena baadhi
Na wanawachukia waislam baada ya kuwaua sana kuwatesa sana sasa wanaanza kuwachukia na kutaka kuwatenga
Ila tu ubaya nikwamba hawawezi maana walijua wakiwavamia waislam huko Makawao ndio watauua uislam
Hatimae sasa uislam unaanza kupiga hodi majumbani mwao kwa kishindo kizito kabisa
 
umeisoma hii mada kwanza inausu nini kabla ya kuandika ulichoandikka? ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ