fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Angalia unachati na nani,sio kila mtu anatukana hovyo hovyo,mimi ni mwislamu lakini nimejaaliwa kusoma vizuri sana na nimesoma pia marekani,nimekaa huko na kuoa mke huko pia,nimefundisha vyuo pia.Hivyo usitoe blanket statement,soma hoja ya mtu na umjibuNikiweka quotations mnaishiaga kutukana tu,
Kuna muda inakubidi uchakarishe akili
Halafu swala la mashia na masunni kuitana makafiri ,nguruwe ,n.k Hadi kuchinjana wala halihitaji quotations linajulikana