Nimekupa uhalisia unaanza kusema tunatukanaHii inadhihirisha jinsi gani ilivyo kilaza wewe na grupu lako ndio maana nawaita Scumbabags ona sasa unavyoenda nje ya mada .
Wayahudi wa Kybakari na Kibaigwa nilijua tu yakija hoja wataacha kujadili ya mezani na kwenda nje ya mada , joto likipanda wataanza kutukana Uislamu na kuanzisha vita . Wakati Mimi nimemnukuu Trump bila kuzidisha chumvi.
Oya min -me wale Fanatical and Extrimist Galatians wa Yombo Kwa Limboa washaingia mjengoni sasa tarajia huu Uzi huu kujaa matusi.
Papa amemjibu trump na maneno yake,angalia al jazeera muda huuNaunga mkono hoja
Acha propaganda za kitoto, huyo Trump alihamasisha insurrection watu wavamie capitol hill na actually polisi kibao waliuwawa. How is it different from hizo fatwa unazotaja hapa?hakuna aliyetangaziwa fatwa na kuiliwa au kuchomwa kisu kwa kutoa maoni yake, yote heri tu ni demokrasia.
Sasa wakatoliki walianzisha uislam ili iweje? Wajitengenezee upinzani?UKATOLIKI na uislamu ni ndugu moja na malengo Yao ni mamoja
Tulia dawa ikuingie
Uislamu umeanzishwa na UKATOLIKI kupitia padre Waraq
View attachment 3571869
Kuna watu ukiangalia koment zao mpaka unawaonea huruma sawa unagundua wanachuki dhidi ya uislam na waislam ila ukiwaangalia kiundani unagundua hata akili wanaweza wakawa hawana sawa sawaBinafsi naona Babu Trump Yuko sawa
Papa aliongea kuwatetea Iran, lakini hakutaka kupima mabaya Yao ikiwa ni pamoja na kufadhili makundi ya magaidi, udikteta, na mauaji ya Raia ya Iran na mataifa jirani
Babu Trump Yuko sahihi Wacha apakate hao kobazi na ugaidi wao
Wamarekan wenyewe wanamkunal mno ila sasa wahamiaji na sie huku kibiti ndo et tunasema chizIla Trump, sijui kwanini alipewa u prezo wa USA, mbona hastahili kuwa hata governor wa jimbo lolote hapo. Lol
Msengerema mmoja kutoka makunduchi wewe.Papa au upapa ndio WAANZILISHI WA UISLAMU
Lengo la UPAPA NA UISLAMU ni moja kuteka Yerusalemu
Wayahudi wanalijua hilo
Ndio maana mapapa wamekuwa wakiteta magaidi hasa waislamu na kuwatumia kuiteka Yerusalemu
Uislamu unasimama kama mwanamke kwenye hili
Maana USA na Israel wanawatumia hasa waislamu wakisunni
Huku papa akiwatumia waislamu wakishia kuteka Yerusalemu
UISLAMU UNATUMIKA KAMA KONDOMU TU
Uislamu ni mtoto wa pembeni wa UPAPA
Ungekuwa unaeleza hizo quotations alisema lini na kwenye hotuba ipi,na tunaweza kuipata wapiKHAMENEI KATIKA HALI MBILI TOFAUTI.
😁Before attack 🇮🇱
Kabla ya shambulio.
"Sunnis are kuffar arabs are Israelis and nothing to do with prophet, they are children of Umar la'nat"
"Masunni ni makafiri, Waarabu ni Waisraeli na hawana uhusiano na Mtume, wao ni watoto wa Umar laana"
😁After attack 🇮🇱
Baada ya shambulio
"We don't cürse Sahaba cürse is Haram. No Sunni, no Shia we are one ummah. We have to unite"
"Hatutukani Maswahaba, laana ni haramu. Hakuna Sunni, hakuna Shia, sisi ni umma mmoja. Lazima tuungane"🤣🤣
.Kabla ya mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran/makundi yake viongozi wa Iran hutoa kauli kali za kimadhehebu dhidi ya Masunni na Waarabu.
. Baada ya Israel kuishambulia Iran au washirika wake, kauli hubadilika na kuwa za umoja, kusema "tusiwatukane Maswahaba" na "tuungane kama Waislamu".
Zinduka ewe Muislamu.
wito wa "umoja wa Kiislamu" hutumiwa kama mkakati wa kisiasa wakati Iran inapokuwa hatarini, lakini hutoweka wakati hali ni shwari.
The godfatherHizi propaganda za kusema Iran anataka nuclear ili alipue Dunia zimesha pitwa na wakati,US ndio taifa pekee lililotumia sila ya nyuklia kuangamiza watu huko Ngasaki na Hiroshima Japan,eti leo hii US ndio hataki wengine wawe na hiyo silaha na kuwapangia wengine wasiwe na hiyo silaha coz yeye ndio taifa pekee lililotumia hiyo silaha so far,The whole world knows the truth now,
Kumbe Papa Leo aliwekwa hapo coz ya Uraia wake tu!
kwa hiyo ule uchaguzi wa Vatican hua ni changa la macho tu sio?
Mtasema tu 😄😄Huna hoja zaid ya kuuchukia tu uislam mm n mkatoliki lakn umeonesha hisia za kuuchukia uislam
Wengi tuliamin trump.hawez kuugusa ukatolik lakn ametuvua nguo na hapa ndio naanza kuamin wayahudi tunaowaamin hawapo hvyo tunavyowajua sis wao wanajambo lao na din nyingine
Alikuwa kichaa ndio but nafuu ilikuwepo angalau , Kina Obama wakamfanyia figisu ashindwe kwenye uchaguzi uliofuata,Hivi trump term yake Ile ya kwanza nayo alikuwa kichaa hivihivi? maana sikuwa mfuatiliaji wa haya mambo
Wanaiga Huko 😁Ni kama vile CCM ambavyo huwa wanawashambulia TEC na Kitima.
😄😄Marekani wanampa mtu uraisi, mtu ambaye alitakiwa akae kwenye nyumba za wazee au hospice.
Nikiweka quotations mnaishiaga kutukana tu,Ungekuwa unaeleza hizo quotations alisema lini na kwenye hotuba ipi,na tunaweza kuipata wapi