Trump: Papa Leo XIV ni dhaifu, simshabikii

Trump: Papa Leo XIV ni dhaifu, simshabikii

kwangu yote ni sehemu ya demokrasia Papa ameongea kama mkuu wa Kanisa Katoliki na labda citizen wa USA na ana haki hiyo D.Ttrump na yeye ameona amekuwa attacked ameamua kujibu, hakuna aliyetangaziwa fatwa na kuiliwa au kuchomwa kisu kwa kutoa maoni yake, yote heri tu ni demokrasia.

salman rushdie alichomwa kisu huko new york na islamic republic affiliated jihadists kwa kutoa maoni yake tu, ayatola khomeini alimtangaia fatwa mjapaani na mwishowe mjapani wa watu kuuwa.

hii habari hapa ya mjapani Hitoshi Igarashi aliyeuliwa baada fatwa ya ayatola khomeini ...


Salmani Rushdie alichomwa kisu cha jicho na ayaotola ...
View attachment 3571756
Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-🤣😆😃
1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😆
2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengi😃😄😁
3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣
 
Rais wa Marekani, Donald Trump, amemkosoa na kumshambulia kwa maneno makali Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV akisema ni Papa dhaifu kwenye kushughulikia masuala ya uhalifu na ambaye hayupo vizuri kwenye kushughulikia Sera za Kigeni huku akisema anamshangaa kuona Papa Leo anaona ni sawa Iran kuwa na silaha za Nyuklia na amekiri kuwa yeye Trump sio Shabiki wa Papa Leo na haoni kama anafanya kazi nzuri.

1776058310505.png
Trump ametoa maneno hayo makali kupitia mtandao wa Truth Social ambapo ameandika “Papa Leo ni dhaifu katika suala la kukemea uhalifu na ni mbaya sana katika kushughulikia Sera za Kigeni, anaongelea hofu ya Utawala wa Trump lakini hataji hata kidogo hofu ambayo Kanisa Katoliki na Mashirika mengine yote ya Kikristo yalipata wakati wa COVID wakati walipokuwa wakikamatwa Mapadri, Wahudumu na wengine wote kwa kufanya Ibada za Kanisa hata walipokuwa nje na walipokaa umbali wa futi kumi na hata ishirini.

“Mimi nampenda sana Kaka yake Louis zaidi kuliko yeye kwasababu Louis ni Shabiki wa MAGA (Make America Great Again) kabisa, yeye anaelewa na Leo haelewi, simtaki Papa ambaye anadhani ni sawa kwa Iran kuwa na silaha za Nyuklia, simtaki Papa ambaye anadhani ilikuwa vibaya Marekani kuishambulia Venezuela Nchi ambayo ilikuwa ikisafirisha na kuingiza dawa za kulevya kwa wingi mkubwa Nchini Marekani na mbaya zaidi ikiwatoa wafungwa wake wengi, wakiwemo wauaji, wauza dawa za kulevya, wauaji na kuwaingiza katika Nchi yetu, hatutaki Papa anayesema ni sawa kuwa na uhalifu duniani na hatutaki Papa anayeona ni sawa kuwa na silaha za Nyuklia” Ameandika Trump.

Pamoja na hayo, Papa Leo amekuwa akikosoa vita inayoendelea kati ya Marekani & Israel na Iran mara kadhaa na ameukosoa utawala wa Trump kwenye hatua za kushughulikia vita hiyo.

======

President Donald Trump delivered an extraordinary broadside against Pope Leo XIV on Sunday night, saying he didn’t think the U.S.-born global leader of the Catholic Church is “doing a very good job” and that “he’s a very liberal person,” while also suggesting the pontiff should “stop catering to the Radical Left.”

Flying back to Washington from Florida, Trump used a lengthy social media post to sharply criticize Leo, then kept it up after deplaning, in comments on the tarmac to reporters.

“I’m not a fan of Pope Leo,” he said.

Trump’s comments came after Leo suggested over the weekend that a “delusion of omnipotence” is fueling the U.S.-Israel war in Iran. While it’s not unusual for popes and presidents to be at cross purposes, it’s exceedingly rare for the pope to directly criticize a U.S. leader — and Trump’s stinging response is equally uncommon, if not more so.

“Pope Leo is WEAK on Crime, and terrible for Foreign Policy,” the president wrote in his post, adding, “I don’t want a Pope who thinks it’s OK for Iran to have a Nuclear Weapon.”

He repeated that sentiment in comments to reporters, saying, “We don’t like a pope who says it’s OK to have a nuclear weapon.”

Later, Trump posted a picture suggesting he had saint-like powers akin to those of Jesus Christ. Wearing a biblical-style robe, Trump is seen laying hands on a bedridden man as light emanates from his fingers, while a soldier, a nurse, a praying woman and a bearded man in a baseball cap all look on admiringly. The sky above is filled with eagles, an American flag and vaporous images.

All of that came after Leo presided over an evening prayer service in St. Peter’s Basilica on Saturday, the same day the United States and Iran began face-to-face negotiations in Pakistan during a fragile ceasefire. The pope didn’t mention the United States or Trump by name, but his tone and message appeared directed at Trump and U.S. officials, who have boasted of U.S. military superiority and justified the war in religious terms.
 
Mimi nawaambia Katoliki hawana nguvu yoyote duniani zaidi ya uongo, utasikia ni majasusi hawana chochote yaani taifa zima la Italy ni underdog. Katoliki hawana nguvu wala hawamiliki chochote chenye nguvu zaidi ya wafuasi wake kusamba porojo


USA anazijua nchi zote za ulaya hazina jeshi ,walidhoofika baada ya kujifanya watu wa demokrasia...Sasa hivi huko ulaya hata wanaume ni wachache wa kupigana ,wamekumbatia agenda za kijinga kama ushoga...
 
Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-🤣😆😃

1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😆

2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengi😃😄😁

3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣
 
Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-🤣😆😃
1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😆
2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengi😃😄😁
3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣

to each his own, tunaunga mkono kuangamizwa kwa ayatola na islamic republic of iran kwa maana wameumiza watu sana na fatwa yake, ayatola amepata alichokistahili, ameumiza wengi na yeye alifikiwa pia, mengine yote ni political correctness tu i mean, kama ni kweli hao russia au hata Vatikan uliowataja walimpenda sana huyo ayatola how come hawakumlinda against assasination attack? na usiniambie kwamba hawakujua, russia ana intelligence ya kujua na kuona angeweza mtonya tu na kupona, lkn hakufanya hivyo, why?

isitoshe hakuna US president ambaye hakuiona iran na ayatola kama adui wa humanity tofauti na D.Trump ni kwamba ame act to solve the problem once and for all, kama ni kweli wako against Trump hakuna hata bomu moja lingeangushwa iran, wote wanataka islamic republic iangamizwe ila hawana uanaume wa kusema live sababu ya political correctness only Trump can do that live to their face.
kwangu mtu kama Trump ni bora mara 100 kwa maana anakwambia ukweli jinsi anavyokuona kama hakupendi anakwambia, mara ngapi amesema afrika ni shithole na inanuka unafikiri wengine ambao hawasemi wanafikri tofauti?

hao wasiokwambia na kukukanda kwa mgongo wa chupa ndiyo the most racist klk yule anayekwambia live to your face kwamba hakupendi ...
 
Nitarudi baadae kwa updates In Shaa Allaah .

Kuna baadhi ya vijana kikiristo wao Netanyahu na Marekani wamemuweka mbele kushinda hata Bible na Yesu kwa maana hata wafanye kinyume na ukiristo wauwe walipue kabisa it's Ok Kwa sababu ni Taifa teule na Netanyahu

Wengine waneenda mbali kabisa wanamuona Netanyahu kama Mungu , hata Yesu aje leo akisema Mimi sikubaliani na Netanyahu basi wao watamkataa Yesu.

Hao WaIsraeli wa Nzega , Kibaigwa , Kybakari , mwanarumango na Katavi
Huuelewi Ugalatia vizuri, Wakatoliki hasa Vatican na Wazungu hawajawahi kuwa supporters wa Uzayuni, hawaungi mkono harakati za Israel mashariki ya kati na wala hawana shobo na Israel. Huyu Netanyahu amepiga mabomu hadi makanisa ya Katoliki na Orthodox huko Palestina na Lebanon.
 
to each his own, tunaunga mkono kuangamizwa kwa ayatola na islamic republic of iran kwa maana wameumiza watu sana na fatwa yake, ayatola amepata alichokistahili, ameumiza wengi na yeye alifikiwa pia, mengine yote ni political correctness tu i mean, kama ni kweli hao russia au hata Vatikan uliowataja walimpenda sana huyo ayatola how come hawakumlinda against assasination attack? usiniambia hawakujua, russia ana intelligence na kujua na kuona angeweza mtonya tu na kupona, lkn hakufanaya hivyo, why?

isitoshe hgakuna US president ambaye hakuiona irana na ayatola kama adui wa humanity tofauti na D.Trump ni kwamba ame act to solve the problem once and for all, kama ni kweli wako againsta na D.trump hakuna hata bomu moja lingeangushwa iran, wote wanataka islamic republic iangamizwe ila hawana uanaume wa kuesema live only Trump can do that live to their face ...
Litrump kasema anaenda kumuangamiza papa. Unasemaje?
 
Anae mshangaa trump inabidi ajishangae mwenyewe, uyo mzee hana break mdomoni, anaweza kuongea kitu chochote popote.

Mumzoee, kwenye hii vita ya Iran ameshatoa matamko mengi yakipiuzi yasiyo na idadi.
 
Papa au upapa ndio WAANZILISHI WA UISLAMU

Lengo la UPAPA NA UISLAMU ni moja kuteka Yerusalemu

Wayahudi wanalijua hilo

Ndio maana mapapa wamekuwa wakiteta magaidi hasa waislamu na kuwatumia kuiteka Yerusalemu

Uislamu unasimama kama mwanamke kwenye hili


Maana USA na Israel wanawatumia hasa waislamu wakisunni

Huku papa akiwatumia waislamu wakishia kuteka Yerusalemu

UISLAMU UNATUMIKA KAMA KONDOMU TU

Uislamu ni mtoto wa pembeni wa UPAPA
 
“If people treat me fairly I treat them fairly. But if they screw me, I screw back with spades”(Donald Trump,1984)
 
Back
Top Bottom