Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
MakafriHapa watapita kimya kimya pia. Hawajui wakae upande upi
Yanaisumbua Dunia Yote Haitulii
MakafriHapa watapita kimya kimya pia. Hawajui wakae upande upi
Trump is the biggest ass hole president. Thinks killing innocent Iranians and destroying their infrastructures is akin to being strong president.Kwa muda mrefu Papa mkuu wa kabisa katoliki duniani "Pope Leo" ambaye ni Mmarekani amekuwa mstari mbele kukemea mauaji na vita mbalimbali zinaondelea duniani mfano Gaza alikemea Hamas, mauaji yanayofanya na serikali ya Israel kwa watoto na raia, kupiga mabomu mpaka Kanisani Gaza nk
Na kwenye mgogo huu wa Vita kati ya Iran na USA & Israel amekuwa mstari wa mbele kutaka vita visitishwe na mauji wa raia, kuzuia mlango wa bahari na kuharibu miundombinu ya kiraia kusitisha.
1. Kumwambia Pope ni "mbaya kwenye mambo ya sera za nje na yeye (Trump ) haushabikii
“Hatupendi papa ambaye atasema kwamba ni sawa kuwa na silaha ya nyuklia… Yeye ni mtu ambaye hafikirii kwamba tunapaswa kushughulika kwa uzito na nchi inayotaka silaha ya nyuklia ili iweze kulipua dunia,” Trump aliwaambia waandishi wa habari, akiongeza, “Mimi si shabiki wa Papa Leo.”
2. Hamtaki Papa anayeikosoa USA na kudai Papa amewekwa hapo Kwa sababu yeye ni Raia wa Marekani
“Na sitaki Papa ambaye anamkosoa Rais wa United States,” aliongeza.
" Leo hakuwa kwenye orodha yoyote ya kuwa Papa, na aliwekwa hapo na Kanisa kwa sababu alikuwa Mmarekani, na walidhani hiyo ndiyo njia bora ya kushughulika na Rais Donald J. Trump.”
===
View attachment 3571798
Huna hoja zaid ya kuuchukia tu uislam mm n mkatoliki lakn umeonesha hisia za kuuchukia uislamPapa au upapa ndio WAANZILISHI WA UISLAMU kupitia padre Waraq na Khadija ,lengo kuu toka zaman ni kuiteka Yerusalemu,
View attachment 3571850
Uislamu baadae ulitumika pia kuangusha Dola ya Benzatine ambayo ilikuwa na mgogoro na Roma ya kipagani ya Vatican iliyotumika kuanzisha Uislamu
Lengo la UPAPA NA UISLAMU ni moja kuteka Yerusalemu
Wayahudi wanalijua hilo
Ndio maana mapapa wamekuwa wakitetea magaidi hasa waislamu na kuwatumia kuiteka Yerusalemu
Uislamu unasimama kama mwanamke kwenye hili
Maana USA na Israel wanawatumia hasa waislamu wakisunni ,
Huku papa akiwatumia waislamu wakishia kuteka Yerusalemu
UISLAMU UNATUMIKA KAMA KONDOMU TU
Uislamu ni mtoto wa pembeni wa UPAPA
Baada ya Uislamu kuanza kujitanua kwa kasi kuanzia mwaka 630 BK na kuendelea, uliweza kushinda maeneo makubwa sana ya Middle East na hata kuanza kuisukuma nyuma Byzantine Empire.
Roma ikaona kinyago nilichokichonga kinataka kunitawala,
Roma ikabidi ijihami kwa Vita vya Msalaba mwaka 1095 BK, chini ya Pope Urban II ikiwa ni majibu ya kuongezeka kwa nguvu ya Kiislamu ambayo tayari ilikuwa imeshika Yerusalemu na maeneo mengi ya Mashariki.
Yerusalemu siku zote imekuwa kitovu cha kugombqnia , si ajabu kuona kila nguvu kubwa ya kidini au kisiasa ikitaka kuwa na ushawishi pale.
Ndiyo maana ninaamini kulikuwa na malengo ya muda mrefu ya kuudhibiti mji huo.
Na UISLAMU umekuwa ukitumika tu kama KONDOMU ,
We kweli kijakazi.hamuelewi mlifeli comprehension shuleni, i guess ...
Such a pathetic discourse from just another Islamophobe, sectarian hate promoter, religious bigot, anti Islam ideologue propagandist,Papa au upapa ndio WAANZILISHI WA UISLAMU kupitia padre Waraq na Khadija ,lengo kuu toka zaman ni kuiteka Yerusalemu,
View attachment 3571850
Uislamu baadae ulitumika pia kuangusha Dola ya Benzatine ambayo ilikuwa na mgogoro na Roma ya kipagani ya Vatican iliyotumika kuanzisha Uislamu
Lengo la UPAPA NA UISLAMU ni moja kuteka Yerusalemu
Wayahudi wanalijua hilo
Ndio maana mapapa wamekuwa wakitetea magaidi hasa waislamu na kuwatumia kuiteka Yerusalemu
Uislamu unasimama kama mwanamke kwenye hili
Maana USA na Israel wanawatumia hasa waislamu wakisunni ,
Huku papa akiwatumia waislamu wakishia kuteka Yerusalemu
UISLAMU UNATUMIKA KAMA KONDOMU TU
Uislamu ni mtoto wa pembeni wa UPAPA
Baada ya Uislamu kuanza kujitanua kwa kasi kuanzia mwaka 630 BK na kuendelea, uliweza kushinda maeneo makubwa sana ya Middle East na hata kuanza kuisukuma nyuma Byzantine Empire.
Roma ikaona kinyago nilichokichonga kinataka kunitawala,
Roma ikabidi ijihami kwa Vita vya Msalaba mwaka 1095 BK, chini ya Pope Urban II ikiwa ni majibu ya kuongezeka kwa nguvu ya Kiislamu ambayo tayari ilikuwa imeshika Yerusalemu na maeneo mengi ya Mashariki.
Yerusalemu siku zote imekuwa kitovu cha kugombqnia , si ajabu kuona kila nguvu kubwa ya kidini au kisiasa ikitaka kuwa na ushawishi pale.
Ndiyo maana ninaamini kulikuwa na malengo ya muda mrefu ya kuudhibiti mji huo.
Na UISLAMU umekuwa ukitumika tu kama KONDOMU ,
UKATOLIKI na uislamu ni ndugu moja na malengo Yao ni mamojaHuna hoja zaid ya kuuchukia tu uislam mm n mkatoliki lakn umeonesha hisia za kuuchukia uislam
Wengi tuliamin trump.hawez kuugusa ukatolik lakn ametuvua nguo na hapa ndio naanza kuamin wayahudi tunaowaamin hawapo hvyo tunavyowajua sis wao wanajambo lao na din nyingine
Hii inadhihirisha jinsi gani ilivyo kilaza wewe na grupu lako ndio maana nawaita Scumbabags ona sasa unavyoenda nje ya mada .Papa au upapa ndio WAANZILISHI WA UISLAMU kupitia padre Waraq na Khadija ,lengo kuu toka zaman ni kuiteka Yerusalemu,
View attachment 3571850
Uislamu baadae ulitumika pia kuangusha Dola ya Benzatine ambayo ilikuwa na mgogoro na Roma ya kipagani ya Vatican iliyotumika kuanzisha Uislamu
Lengo la UPAPA NA UISLAMU ni moja kuteka Yerusalemu
Wayahudi wanalijua hilo
Ndio maana mapapa wamekuwa wakitetea magaidi hasa waislamu na kuwatumia kuiteka Yerusalemu
Uislamu unasimama kama mwanamke kwenye hili
Maana USA na Israel wanawatumia hasa waislamu wakisunni ,
Huku papa akiwatumia waislamu wakishia kuteka Yerusalemu
UISLAMU UNATUMIKA KAMA KONDOMU TU
Uislamu ni mtoto wa pembeni wa UPAPA
Baada ya Uislamu kuanza kujitanua kwa kasi kuanzia mwaka 630 BK na kuendelea, uliweza kushinda maeneo makubwa sana ya Middle East na hata kuanza kuisukuma nyuma Byzantine Empire.
Roma ikaona kinyago nilichokichonga kinataka kunitawala,
Roma ikabidi ijihami kwa Vita vya Msalaba mwaka 1095 BK, chini ya Pope Urban II ikiwa ni majibu ya kuongezeka kwa nguvu ya Kiislamu ambayo tayari ilikuwa imeshika Yerusalemu na maeneo mengi ya Mashariki.
Yerusalemu siku zote imekuwa kitovu cha kugombqnia , si ajabu kuona kila nguvu kubwa ya kidini au kisiasa ikitaka kuwa na ushawishi pale.
Ndiyo maana ninaamini kulikuwa na malengo ya muda mrefu ya kuudhibiti mji huo.
Na UISLAMU umekuwa ukitumika tu kama KONDOMU ,
Nenge ya viporo vya jana imeamka bwashee sasa ni mwendo wa ushuzi tu😅Hii inadhihirisha jinsi gani ilivyo kilaza wewe na grupu lako ndio maana nawaita Scumbabags ona sasa unavyoenda nje ya mada .
Wayahudi wa Kybakari na Kibaigwa nilijua tu yakija hoja wataacha kujadili ya mezani na kwenda nje ya mada , joto likipanda wataanza kutukana Uislamu na kuanzisha vita . Wakati Mimi nimemnukuu Trump bila kuzidisha chumvi.
Oya min -me wale Fanatical and Extrimist Galatians wa Yombo Kwa Limboa washaingia mjengoni sasa tarajia huu Uzi huu kujaa matusi.
Familia ndo wako karibu naye zaidi.Trumpa anaongoza nchi haongozi familia yake,madhara ya uongozi wake kama yapo yanaiathiri nchi zaidi na sio familia yake,sasa kwanini unasema familia yake ndio iingilie kati? hii ni issue ya kitaifa sio issue ya kifamilia.
Familia ndo wako karibu naye zaidi.
Ana mke na watoto. Hao ndo watu wanaoweza kumfikia kwa urahisi zaidi na ndo watu ambao kaishi na anaishi nao.
Wana nafasi nzuri zaidi ya kumfikia.
Aliyetoa hiyo fatwa ana nafasi gani katika Uislamu ?kwangu yote ni sehemu ya demokrasia Papa ameongea kama mkuu wa Kanisa Katoliki na labda citizen wa USA na ana haki hiyo D.Ttrump na yeye ameona amekuwa attacked ameamua kujibu, hakuna aliyetangaziwa fatwa na kuiliwa au kuchomwa kisu kwa kutoa maoni yake, yote heri tu ni demokrasia.
salman rushdie alichomwa kisu huko new york na islamic republic affiliated jihadists kwa kutoa maoni yake tu, ayatola khomeini alimtangaia fatwa mjapaani na mwishowe mjapani wa watu kuuwa.
hii habari hapa ya mjapani Hitoshi Igarashi aliyeuliwa baada fatwa ya ayatola khomeini ...
![]()
Hitoshi Igarashi - Wikipedia
en.wikipedia.org
Salmani Rushdie alichomwa kisu cha jicho na ayaotola ...
View attachment 3571756
Jamaa kila muda anapost hata pumba hajali , ndio maana first term yake Twitter walipiga ban kutokana na ukichaa wake wa kupost hovyo hata habari potoshi ndio maana akamua kuja na mtandao wake mwenyewe wa TruthHiv Trump akiamua akikaa kimia atapungukiwa na nn?