Angalia unachati na nani,sio kila mtu anatukana hovyo hovyo,mimi ni mwislamu lakini nimejaaliwa kusoma vizuri sana na nimesoma pia marekani,nimekaa huko na kuoa mke huko pia,nimefundisha vyuo pia.Hivyo usitoe blanket statement,soma hoja ya mtu na umjibu