Trump: Tunafungua nchi watu wafanye kazi waondoe hofu wanawe na waepuke mikusanyiko

Trump: Tunafungua nchi watu wafanye kazi waondoe hofu wanawe na waepuke mikusanyiko

Naona wanalumumba mmeamua kuweka kikao na kujadiliana maamuzi ya Trump ambaye yuko USA na taifa lake lipo vyema kiuchumi.

Tunasahau kuwa Rais ametuma ujumbe maalum kwenda Madagascar kuchukua mitishamba ambayo angeweza kuwatuma wanakijiji kwenda Rubondo tu pale kutafuta ile Mitishamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha! Venezuela kwa Juan Guaido mpinzani mwenzake
Miaka yote huwa hawana plan B kwenye maigizo yao kisiasa,ndio mana huwa yanapotea kwenye thin air
Nia ya mbowe na genge la wahuni wenzake kulilia lock down ni kuwafurahisha wazungu
Bahati nzuri Trump amemuelewa Magufuli.na.ameamua kumuiga kwa kusema watu wachape kazi na wafuate kanuni za usafi
 
ungekuwa raisi wa Tanzania ungefanya nini katika janga hili la corona?
Naona wanalumumba mmeamua kuweka kikao na kujadiliana maamuzi ya Trump ambaye yuko USA na taifa lake lipo vyema kiuchumi.

Tunasahau kuwa Rais ametuma ujumbe maalum kwenda Madagascar kuchukua mitishamba ambayo angeweza kuwatuma wanakijiji kwenda Rubondo tu pale kutafuta ile Mitishamba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona huenda likawa ni tatizo litakalidumu na kuwa ni Hali ya kawaida tu kuishi na kukwepana nalo kama tufanyavyo kwenye magonjwa mengine ya kuambukiza,

Kwa sababu tukisema ni lazima nchi zoote ziige Tanzania, Itakuwa sio mfano mzuri masikioni mwa wasiojiamini, basi tunaishia kusema, Nchi zote lazima ziondoe Lockdown watu wawe huru na maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom