mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Siyo kweli!! Kinga thabiti ni kunawa mikono mara kwa mara na kutunza social distance/ kutokukaribiana na kutumia Barakoa! Trump ameligundua hilo japo kwa kuchelewa lakini ndilo alilolishika. Pamoja na lockdown maambukizi mapya ni zaidi ya 20,000 kila siku. Haikumsaidia!! Ila imeumiza sana uchumi wake na watu milioni 34 wamepoteza ajira inabidi awape posho!! Ndio maana pamoja na maambukizi na vifo kuwepo ameamua kuachana na lockdown!! Mmbowee unasikia?Kama wasingefanya lockdown kwa muda wote tokea Corona iingie,death tall ingekuwa kwenye 1 milio!