Trump: Tunafungua nchi watu wafanye kazi waondoe hofu wanawe na waepuke mikusanyiko

Trump: Tunafungua nchi watu wafanye kazi waondoe hofu wanawe na waepuke mikusanyiko

"Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata China”-TRUMP
Source please!!!
 
"Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama"
"Hakuna nchi yeyote yakutukaribia kiuchumi"
 
Wanamuiga kwa kipi?
Kuji ficha chato na kutochukua hatua yoyote.

Fikiria Rais magufuli ndye angekuwa Rais wa marekani alafu janga likaingia akaenda kujificha kusikojulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli isingependeza, lakini Kwa vile yupo mahali ambapo hata wewe umepataja Maana yake hakujificha kusikojulikana!

Kusikojulikana, huwezi kupafahamu Wala kupataja, Maana hakujulikani, Ila ukipataja Maana yake panafahamika, hivi mlienda shule kuongeza Ujinga?
 
"Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata China”-TRUMP
Hatimaye wameamua kutuiga,bado taratibu tu mtamjua John Pombe Joseph Magufuli ni nani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote watamuiga Rais Magufuli
Hata Pakistan wameamua kuachana na lockdown japo maambukizi ya kila siku bado yanaongezeka!! Kuna nchi zimeingia lockdown kichwa kichwa na sasa zinalia na hakuna walichoambulia zaidi ya maandamano ya raia wao wanaopinga lockdown!
 
Naona ushabiki usio na mbele wala nyuma,nadhan Bado mapema sana kujua matokeo ya maamuzi yaliyofanyika,wakati ushabiki ukiendelea tusisahau kufatilia yanayojiri Brazil,Kuna somo zuri pia la kujifunza tukiwa tumasubiri Matokeo ya maamuzi yaliyofanyika
 
Mbowe na wenzake ndio kwanza wameanza "kujifungia" Tutakutana nao kwenye kampeni za uchaguzi mkuu, mara hii hatuzungushi mikono haki ya nani!

Hivi ni kweli walivumilia kwanza hadi posho ikaingia?
 
Mshenzi huyo..ameshatoa kafara ya kutosha na sasa anajitapa: ni ukweli usiopingika kwamba ataongoza uchumi wa dunia kwa mara nyingine maana yeye ndo katoa kafara ya watu wengi kuliko nchi nyingine yoyote ile duniani.
 
Rais Magufuli angekuwa Rais wa Nchi Nyingine kina Zitto na Mbowe wangekuwa ndio role modal wao lakin kwa kuwa wanatafuta tonge basi wanamkejeli hadharan lakin kwenye mioyo yao wanajua jamaa yupo tinamu

Ma Rais wote Duniani waliingia Mkenge wa kuiga China kumbe China hawakufunga nchi walifunga miji midogo kadhaa

Tujivunie kuwa na Dr JPM a.k.a kiona mbali
Wote watamuiga Rais Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli angekuwa Rais wa Nchi Nyingine kina Zitto na Mbowe wangekuwa ndio role modal wao lakin kwa kuwa wanatafuta tonge basi wanamkejeli hadharan lakin kwenye mioyo yao wanajua jamaa yupo tinamu

Ma Rais wote Duniani waliingia Mkenge wa kuiga China kumbe China hawakufunga nchi walifunga miji midogo kadhaa

Tujivunie kuwa na Dr JPM a.k.a kiona mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,na juzi amewaambia wale jamaa mnafunga hizo nyumba za ibada kama mlijenga nyinyi vile,hahah pale kwa mtoro kwa upoleeeeee ikabidi tu keshokutwa yake wafungue ile nyumba ya ibada hahah.

Chuma kinanoa chuma.
 
Kwa kifupi kwenye hili janga la corona Mh. Rais aliact kama mwanasayansi mtaalam wa kemia, upande wa upinzani na baadhi viongozi duniani wakaact kisiasa zaidi na kuanza kumbeza raisi wetu bila kujua kwamba ana PHD ya kemia hivyo hata akishauriwa na wataalamu wake anachanganya na za kwake.

Hivi sasa ni dhahiri Rais Magufuli anakwenda kuibuka mshindi kwa njia alizochukua kupambana na corona maana mataifa yote yanakwenda kuondoa lockdown. Ni muda sasa kwa wale wote waliokuwa wanakosoa hatau alichukua Rais Magufuli watoke hadharani kumuomba radhi, la sivyo Mungu atawaadhibu maana tayari Mh. Rais alishaikabidhi nchi yetu kwa Mungu ili haikinge na janga corona.
 
"Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata China”-TRUMP
Umetoa Kichwan kwako
Weka source

Sent by IPhone
 
Rais Magufuli angekuwa Rais wa Nchi Nyingine kina Zitto na Mbowe wangekuwa ndio role modal wao lakin kwa kuwa wanatafuta tonge basi wanamkejeli hadharan lakin kwenye mioyo yao wanajua jamaa yupo tinamu

Ma Rais wote Duniani waliingia Mkenge wa kuiga China kumbe China hawakufunga nchi walifunga miji midogo kadhaa

Tujivunie kuwa na Dr JPM a.k.a kiona mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi mzuri hujitambulisha wakati wa nyakati ngumu na majanga kama haya. Tusipomshukuru Mungu kwa kutupa Rais mzuri wa kutufaa tutakuwa watu wa ajabu sana. Bila busara za Rais Magufuli watanzania tungeteseka sana!! Hatimaye Dunia italazimika kutambua hekima na uongozi mzuri wa Magufuli. Ninaamini mpaka sasa wameshaanza kulitambua hilo japo kiburi kinaweza kuwazuia kukiri hivyo kwa haraka.
 
Mbowe ametuchongea BBC ni nani anayesikiliza kilio cha mwenzake sasa hivi wakati yeye mwenyewe ana msiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uingereza leo waziri wao mkuu anatazamia kutangaza utaratibu wa kutoka kwenye lockdown japo maambukizi mapya kila siku ni zaidi ya 1000 na vifo vipya kila siku ni takriban 400. Mwekekeo wa sasa ni kuachana na lockdown!! Wananchi wa mataifa mengine wanawashangaa sana watanzania (si watanzania wote lakini ni Wambowe) wanaolilia lockdown wakati nchi za wenzetu wanaachana nayo!! Wambowe wana matatizo sana! Ndio maana kila kukicha watu wanaachana na umbowe!
 
Kamuelewa sana Magufuli huyu kiumbe ,waafrika tunaweza ,tujiamini ,tuache kudharauliana

Sent using Jamii Forums mobile app

Nijuavyo Trump hana mamlaka kamili kuondoa lockdown. huyu babu huwa anajisemea tu baadae hukwama, na kama akili za Trump ndio kigezo chenu itakuwa shida zaidi huko mbeleni kuliko mulivyo sasa
 
Back
Top Bottom