Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Trump anaenda kujitia kidole cha macho.
Amani inatakiwa sana dunian
Vita Haina maana tena
Wanaoumia ni masikin wa Iran huku Amerika wao wakiendelea kuchek kombe la dunia
Heee ulikuwa ICU wakati anashambuliwa siku ya kwanza?Marekani nao ni waoga tu. Kwanini uende attack mtu wakati wa kulala!. To prove their strength waande mchana sio kuvizia watu Usiku.
Wakati wa kulala si mtu anajiwekea tu?hakuna wakati maalum wa kulala.Marekani nao ni waoga tu. Kwanini uende attack mtu wakati wa kulala!. To prove their strength waande mchana sio kuvizia watu Usiku.
Bora hata ya mamaMarekani nao walipata rais takataka