Trump: Usiku wa leo tunaenda kuishambulia vibaya sana Iran.

Amani inatakiwa sana dunian

Vita Haina maana tena

Wanaoumia ni masikin wa Iran huku Amerika wao wakiendelea kuchek kombe la dunia
 
Ila Trump nae muongo muongo sana.
Kila siku alikuwa anadai Iran wanambembeleza kusaini mkataba wa amani na mapatano, leo kiko wapi!?
 
Nchi inayotishia nchi nyingine hasa kuwa na lengo la kuitokomeza kabisa, hiyo nchi yapaswa kulaaniwa na Kila mtu mwenye akili timamu
 
Nchi inayotishia nchi nyingine hasa kuwa na lengo la kuitokomeza kabisa, hiyo nchi yapaswa kulaaniwa na Kila mtu mwenye akili timamu
 
Marekani nao ni waoga tu. Kwanini uende attack mtu wakati wa kulala!. To prove their strength waande mchana sio kuvizia watu Usiku.
Wakati wa kulala si mtu anajiwekea tu?hakuna wakati maalum wa kulala.
Wameabiwa kabisa mda gani wanapigwa,basi wasilale
 
Dunia inataka taarifa ya lini bei ya Mafuta inashuka baada Vita kwishaa!!!!

yeye yupo kutangaza kuendelea kwenye mgogoro wake !!!

Mgogoro wake ni kama Mimba ya Dunia nzima maumivu yanasumbua pande zote za Dunia
 
Iran wana ujasiri wa kipekee, kitendo cha kuishusha ile helicopter wameonyesha ukakamavu wa hali ya juu , sisi hapa hata kuisonya tu meli ya kivita ya mmarekani hatuwezi achilia mbali kupiga risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…