Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #21
Kweli kabisa ndgu ni wazazi na watoto wako tuu..Wivu huzaa chuki. Kwa Dunia ya sasa ukiishi kwa share mafanikio yako utazidisha chuki na kuongeza marafiki.
Kama utaoa basi wanao na wazazi wako ndo watakuwa ndugu zako na marafiki zako.
Zingatia hili
Nilikua najua kufichua mipango ni njia ambayo italeta confidence kwako ili utusue kumbe hapana bana nimejikuta naingia cha kike tuuKama unamichongo Yako fanya kimya kmya. Usiyaweke maisha Yako wazi wazi ifanye wakujue
Wengi mnooo wengiii mno..Cut the cord... Watu wasipoona mafanikio kwa macho ya nyama basi watakuona kwa macho ya rohoni.
Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.
Kama huwezi kuipigana vita basi tafuta ulinzi. Wanga na washirikina wamekuwa wengi na uharibu kila harakati za mtu.
True nomadix..Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.
Daaah nimekumbuka..Ridhki mwanzo wa chuki..
Zingatia Hilo..Daaah nimekumbuka..
🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Kweli midekoo ridhiki mwanzo wa chuki..
Mwisho tunauwana hv hv jamni
Kweli kabisaHata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.
Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.
Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.
Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.
Ishi hivo....
Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....
Mimi niko kinyume na weweHata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.
Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.
Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.
Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.
Ishi hivo....
Kwanini anayefanya hivi awe mtu wa ngu wa karibu sasa ...Zingatia Hilo..
Penye ridhki hapakosi chuki,fitna na uhasama..
Kuwa makini unaowashirikisha neema zako...
Mbaya akiwa mtu wa karibuKweli kabisa
Hayajakukuta mkuu...Mimi niko kinyume na wewe
Ninaamini jinsi mtu alivyo anavutia watu wa aina yake kuja kwake na kushirikiana naye.
Ndio maana mtu anayekunywa pombe hapendi kukaa na anayekunywa soda, mtu anayependa majungu na ujinga huamini kila anyemzunguka yuko hivyo. Hata mtu akicheka huhisi anachekwa yeye
Principal ni moja tu
Jali maisha yako, kama kuna jambo unahisi ni la hatari chukua tahadhari za kimkakati, acha kufikiri wengine wanawaza nini kuhusu wewe au watafanya nini hiyo ni dalili kuu ya UMASIKINI.
Why anifanyie hvi mtu wa karbu ..Hata Bible inasema, sio nukuu ;kuweni wapole kama kondoo lakini werevu kama nyoka.
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu
Mkuu funguka kidogo weka nyama... Iko hivi inatakiwa wayaone mafanikio Yako ya nje ila wanyime wasiijue michongo Yako ya ndaniNilikua najua kufichua mipango ni njia ambayo italeta confidence kwako ili utusue kumbe hapana bana nimejikuta naingia cha kike tuu
Huo ulinzi ndio utupe codes mkuu. Tuishije ili kuimalisha ulinzi wetu kwa kile tunachokifanya kwenye maendeleo yetuCut the cord... Watu wasipoona mafanikio kwa macho ya nyama basi watakuona kwa macho ya rohoni.
Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.
Kama huwezi kuipigana vita basi tafuta ulinzi. Wanga na washirikina wamekuwa wengi na uharibu kila harakati za mtu.
Tena, wa karibu yako ni hatari. Hata Yuda aliyekuwa kwenye inner circle ya Bwana Yesu alimsaliti. Tujifunze kujibakisha/kuweka akiba ya kila kitu, si ya maneno tu. Hata mafanikio na maumivu yetu saa nyingine. Huwezi kujua nani yupo upande wako na nani hafurahishwi na mafanikio yako. Amini wapo hata wazazi wenye hila kwa watoto waoWhy anifanyie hvi mtu wa karbu ..
Rafiki wa toka nitoke
Mkuu assume mmepambana weww na mwenzako migodini mkapata dhahabu..Mkuu funguka kidogo weka nyama... Iko hivi inatakiwa wayaone mafanikio Yako ya nje ila wanyime wasiijue michongo Yako ya ndani