Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Chujio haya nayopitia sasa natamani hata nikakae kijijini huko mbali kabisa...

Mkuu nipo social sana mpaka sasa nashangaa why nafanyiwa hvi yaani kwa lipi hata sijawhi kumtukana mtu..

Mimi huyo huyo ni.mtu wa kusaidia hapa how inakua hvi..

Sawa tenda wema nenda zako ila hii too much...
 
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....

Pia ni maneno ya khanga.
Daaah hii ya sasa ni kiboko..
Sasa kwanini mimi na weww hatupo hivo ila wengine wapo hivo..

Inayoleta tofauti hapa ni nini..?
 
Penye dhuluma hakuna riziki, ndio maana pamoja na mgao wake mkubwa hazina yake ikatafunwa na mchwa. Kaza moyo my dear, mapito haya, ichukue kama fundisho
 
Pole mkuu kwa mkasa uliokupata, umetupa funzo na kweli ipo wazi sisi ngozi nyeusi tunahusuda sana sijajua kwa ngozi nyeupe wakoje ila huwa naona hata miradi Yako wanashirikiana na wanatoboa kwa pamoja na wanafika mbali, kwetu sisi hii haipo.
 
Mkuu acha kabisa achaa kabisa..
Mtu unamuonea huruma kabisa ile life yake unasema utoe chochote kitu kwao..

Mtu unatamani afanikiwe katika maisha yake ila bado ana chuki

Its oky chuki kwa binadamu haipingiki why unajenga chuki kwa mtu ambaye anakupa chochote kitu.

Yaani leo hii mimi nikuchukie wew bila sababu ya msingi..
Huu ni uchawi really huu ni uchawi mkuu ndo mana nasema sio kila mtu ana huu moyo wa kishirikina...
 
Mie nakupata vilivyo mkuu, maana pia ni muhanga wa hili.
Mkuu haya mambo

Unajua natamani hata kuhama niende nikakae vijijini huko..

Hapa nimekuja mgeni tu hata mwaka sijamaliza ila sasa the way nakimbiza nahisi wanastuka..

Kumbe maskini mimi ni vile nina despline ya kile nachokifanya aiseeee
 
Pole mkuu kwa mkasa uliokupata, umetupa funzo na kweli ipo wazi sisi ngozi nyeusi tunahusuda sana sijajua kwa ngozi nyeupe wakoje ila huwa naona hata miradi Yako wanashirikiana na wanatoboa kwa pamoja na wanafika mbali, kwetu sisi hii haipo.
Yaaah hiyo ndo hali niliyonayo sasa..
Nakuaga radhi nitoe wazo kabla sijafanya kitu kwa mtu ili tujue tunafanyaje...

Mfano namfata mtu najua kabisa huyu ni hana cha kufanya unamuweka karibu unamshauri tufanye hivi na kile...

Yeye anakataa katu katu unasema its oky naamua kufanya mimi kama mimi baada ya kuona mfanikio anakuja juu...

Mkuu yapo mengi tuu tunapitia sisi watoto wa mama ntilie huku mitaani ..

Na wanaotufanyia figisu ni hawa hawa maskini wenzetu sio watoto wa kishua.

Pipo zinapenda kuona mpo same class..
Mi nitajipambania tuu mpaka nifikie stage waseme ni frimason
 
Penye dhuluma hakuna riziki, ndio maana pamoja na mgao wake mkubwa hazina yake ikatafunwa na mchwa. Kaza moyo my dear, mapito haya, ichukue kama fundisho
Nakaza moyo sana
Asante sana kwa ushauri wako chujio

Ila hali huku ni mbaya sana..
Pipo mbaya sana..
Hakuna baya nimefanya mimi..
Sijawahi hata gombana na. Mtu nakuaga nipo radhi nishuke mambo yaishe ila unachukiwa for nathing seriously...

Kuna mtu anaweza sema wht unalalamika kama mtu kakukunjia na wewe si pita hvi...

Its oky aseme hv ila mimi napokua na kitu moyoni hata mood nakua sina.
Mi nikiwa moodless hata kazi zangu haziendi mkuu seriously...

Ndio mana hata wazaz hom wakianza kuongea tuu huwa chap nafanya juu chini wasije keleka na mimi
 
Mimi naona mkuu kama una wazo lifanyie kazi mwenyewe au kama unamshirikisha mtu usitafute yule wa Hali ya chini mnaendana, tafuta yule aliepiga hatua huyo ndio anaweza kukupa mwongozo na kukuongezea maarifa zaidi. Hawa masikini Wanaroho mbaya sana ndiomaana hata matajiri hawataki hata kusogelewa nao
 
Kabisa maskina tuna ROHO MBAYA baadhi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…