Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Huo ulinzi ndio utupe codes mkuu. Tuishije ili kuimalisha ulinzi wetu kwa kile tunachokifanya kwenye maendeleo yetu
Kulingana na imani yako elekeza maisha yako kwa Mungu.
Chagua bwana mmoja umtumikie na sio asubuhi unasali au jioni unajipaka dawa za ramli.
Nitaiweka vizuri hii. Asante.
 
Hayajakukuta mkuu...
Ila ungejua nilivyo social ww hata usingesema hivo...
Mkuu nakuelewa sana yaani hapo sasa umeshapata uzoefu na kujua nini maana ya ulimwengu.
Hao wanaokupinga bado hawajaijua dunia wanaona kila kitu kizuri,watu ni wazuri kwa kuwaangalia usoni tu kwa vile wanatabasamu kumbe moyoni ni kinyume chake.
Hilo jambo lilishawahi kunikuta miaka michache nyuma lakini hadi hii leo tunavyoongea hapa imeniachia mshangao na haifutiki kichwani yaani nilihisi kama dunia imepinduka au imenielemea nikawa sielewielewi.
 
Hujui usemacho. Marafiki wapo sema si wote ni wema. Angalia urafiki wa Samia na Makonda au ule wa Trump na Musk au wa Shetani na Mungu mwanangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…