residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mimi ndiye niliyewashawishi nilipofika hapa mnamo 2014. Mambo yamebadiliki kuanzia 2015.Unatakiwa ujiulize kwa niji walitaka kuja wekeza tanzania kwanza!
mpaka mtu anachagua sehemu ya kuwekeza jua kavutiwa na vitu vingi..
Ndio. Unateseka na nini?Uko Russia ya hapo buza sio?
Ni vema angefanya huo mkutano. Atashtuka kusika madudu yaliyomo ndani.. na wanatumia kivuli cha jina lake.Siku itokee magufuli aitishe mkutano wa wafanyabiashara kisha awaruhusu kutoa kero zao dhidi ya BOT na TRA siku hiyo hiyo kuna wafanyakazi wengi watapoteza kazi kwa jinsi atakavyosikia malalamiko mengi mno
Tutakuja shtula very late.Mazingira yetu ya kiuwekezaji ni faida kubwa kwa jirani zetu na naimani majirani zetu watakuwa na maafisa vipenyo wengi katika issues za kibiashara hapa nchini wakiwashawishi hata hawa wawekezaji wachache waliobakia wahamie katika nchi zao.
Siamini kwa uwekezaji mkubwa kama wa Dangote na favourable investment environment aliyotengenezewa na awamu ya nne leo hii imegeuka kuwa negative mpaka kufikia hatua ya kuwind up investments zake Tanzania.
Sisi tunashupaza shingo wenzetu wakenya wanalegeza shingo[emoji23][emoji23]
Alafu ndio pale tutakapoanza kukabana na kulaumiana wenyewe kwa wenyewe.Tutakuja shtula very late.
Hamisha biashara zako usitubabaishe. Sifa kwako ni kupata faida kubwa sifa kwetu kwa uwekezaji ni uwekezaji kua na faida kwetu pia.Hata mimi nilipata wawekezaji walikuwa interested kuwekeza Tz toka hapa Russia,ila waliambiwa na "intelijensia" yao waliopo huko Tz kwamba wasubiri kwanza,maana GoT ya awamu hii haileweki.
Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania.
Nafikiria pia kuhamisha biashara zangu ambazo zinahamishika toka huko Tz kwenda Comoro au Ushelisheli.
Kama kawaida yetu..mawili either lawama tumtupie beberu au tutafute mwenzetu tumbebeshe zigo.Alafu ndio pale tutakapoanza kukabana na kulaumiana wenyewe kwa wenyewe.
Ule alio Sanya umezaa matunda gani? So mikutano ndo itabadili mazingira? Ni nini kisicho julikana?Ni vema angefanya huo mkutano. Atashtuka kusika madudu yaliyomo ndani.. na wanatumia kivuli cha jina lake.
Wakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.
Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao
Katika hiki mkuu beberu anahusika vipi ilhali sisi ndio tunamtukana na kumkejeri? Hapa zigo atashushiwa mtu kama loote😂😂Kama kawaida yetu..mawili either lawama tumtupie beberu au tutafute mwenzetu tumbebeshe zigo.
Hili jamaa jinga sana.BOT haipokei pesa za wafanyabiashara full stop!! Neno la Utopolo siyo la Manara bali lilianzishwa na mshabiki wa Yangu. Acha kuwa na akili za utopolo mkuu!
Wewe jamaa umefoji cheti cha chuoUko Russia ya hapo buza sio?
Haisadii. Mfumo mzima umeoza. Kuna ule alioitisha na yule mfanyabiashara wa Kariakoo akatoa kero yake matokeo yake sasa sijui mika mingapi bado anahangaika. Na kero aliitoa kwa rais mwenyewe.Siku itokee magufuli aitishe mkutano wa wafanyabiashara kisha awaruhusu kutoa kero zao dhidi ya BOT na TRA siku hiyo hiyo kuna wafanyakazi wengi watapoteza kazi kwa jinsi atakavyosikia malalamiko mengi mno
Yan dikteta akiona hela nyingi kwenye akaunti ya mtu au kampuni binafsi anachanganyikiwa...kumbuka hela za Bureau de Changes, hela za Manji, hela za Bodi ya Korosho na sasa hela za Shule za St.Jude ArushaWakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.
Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao
Shule ya St. Jude iliopigwa ngwala na TRA kisa waligoma na hawakupeleka watoto wao kwenye kampeni za CCM, kama shule zingine.Yan dikteta akiona hela nyingi kwenye akaunti ya mtu au kampuni binafsi anachanganyikiwa...kumbuka hela za Bureau de Changes, hela za Manji, hela za Bodi ya Korosho na sasa hela za Shule za St.Jude Arusha
Huyu Mhutu kiboko dah