Tetesi: Tsh Bilioni 425 za Mwekezaji zadaiwa kuzuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

Tetesi: Tsh Bilioni 425 za Mwekezaji zadaiwa kuzuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

Unatakiwa ujiulize kwa niji walitaka kuja wekeza tanzania kwanza!
mpaka mtu anachagua sehemu ya kuwekeza jua kavutiwa na vitu vingi..
Mimi ndiye niliyewashawishi nilipofika hapa mnamo 2014. Mambo yamebadiliki kuanzia 2015.
 
Watetezi wa dhuluma wamemaliza kuvuta Bangi sasa wanaingia kusumbua watu mitandaoni yafaa kwenda nao jino kwa jino mpaka wakae wajue dhuluma inadidimiza uchumi wa Tanzania
 
Tatizo kuna mtu anataka kutawala zaidi, na anaogopa hizi pesa zinatumwa kwa wapinzani 🤣🤣
 
Siku itokee magufuli aitishe mkutano wa wafanyabiashara kisha awaruhusu kutoa kero zao dhidi ya BOT na TRA siku hiyo hiyo kuna wafanyakazi wengi watapoteza kazi kwa jinsi atakavyosikia malalamiko mengi mno
Ni vema angefanya huo mkutano. Atashtuka kusika madudu yaliyomo ndani.. na wanatumia kivuli cha jina lake.
 
Mazingira yetu ya kiuwekezaji ni faida kubwa kwa jirani zetu na naimani majirani zetu watakuwa na maafisa vipenyo wengi katika issues za kibiashara hapa nchini wakiwashawishi hata hawa wawekezaji wachache waliobakia wahamie katika nchi zao.
Siamini kwa uwekezaji mkubwa kama wa Dangote na favourable investment environment aliyotengenezewa na awamu ya nne leo hii imegeuka kuwa negative mpaka kufikia hatua ya kuwind up investments zake Tanzania.
Sisi tunashupaza shingo wenzetu wakenya wanalegeza shingo[emoji23][emoji23]
Tutakuja shtula very late.
 
Hata mimi nilipata wawekezaji walikuwa interested kuwekeza Tz toka hapa Russia,ila waliambiwa na "intelijensia" yao waliopo huko Tz kwamba wasubiri kwanza,maana GoT ya awamu hii haileweki.

Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania.
Nafikiria pia kuhamisha biashara zangu ambazo zinahamishika toka huko Tz kwenda Comoro au Ushelisheli.
Hamisha biashara zako usitubabaishe. Sifa kwako ni kupata faida kubwa sifa kwetu kwa uwekezaji ni uwekezaji kua na faida kwetu pia.
 
Ni vema angefanya huo mkutano. Atashtuka kusika madudu yaliyomo ndani.. na wanatumia kivuli cha jina lake.
Ule alio Sanya umezaa matunda gani? So mikutano ndo itabadili mazingira? Ni nini kisicho julikana?
 
Wakuu,

Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?

Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.

Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

Nimeisoma hii habari ktk hio link, pamoja na mengineyo lakn nimeshangazwa na kauli ya Mtendaji Mkuu mpya wa TIC aliposema eti hao wawekezaji wafike ofisini kwake aone wamekwama wapi ili wasaidiwe..!!!

Hivi muwekezi mkubwa kama huyó wa level ya 452bln badala ufanye jitihada umtafute muyaongee kiofisi eti unatoa kauli ya kuonesha kwamba muwekezaji ndio akutafute wewe ofisini!??? Are u serious in your office!??
Bullshit..!!

Serikali inatumia 900ml kila mwaka for importation ya madawa, sasa tumepata muwekezaji mkubwa atakayetupa faida ya kupunguza gharama za uagizaji, ajira kwa Watz, kushuka kwa bei za madawa, tutapata kodi, na pía kuuza hata nchi jirani na kuzidi kukuza uchumi

Sasa huyu Mtendaji mkuu wa TIC haya yote wala hayajui, kabweteka ofisini eti anamtaka muwekezaji amtafute ofisini..!
Bullshit square..!!

Raisi wetu JPM nakushauri katika taasisi kama hizi zinazodeal na wafanya biashara direct ni bora uweke watu wenye mindset za kibiashara ikiwezekana wawe wametoka ktk taasisi/makampuni ya biashara moja kwa moja..!!!!
 
Kama kawaida yetu..mawili either lawama tumtupie beberu au tutafute mwenzetu tumbebeshe zigo.
Katika hiki mkuu beberu anahusika vipi ilhali sisi ndio tunamtukana na kumkejeri? Hapa zigo atashushiwa mtu kama loote😂😂
 
BOT haipokei pesa za wafanyabiashara full stop!! Neno la Utopolo siyo la Manara bali lilianzishwa na mshabiki wa Yangu. Acha kuwa na akili za utopolo mkuu!
Hili jamaa jinga sana.
 
Siku itokee magufuli aitishe mkutano wa wafanyabiashara kisha awaruhusu kutoa kero zao dhidi ya BOT na TRA siku hiyo hiyo kuna wafanyakazi wengi watapoteza kazi kwa jinsi atakavyosikia malalamiko mengi mno
Haisadii. Mfumo mzima umeoza. Kuna ule alioitisha na yule mfanyabiashara wa Kariakoo akatoa kero yake matokeo yake sasa sijui mika mingapi bado anahangaika. Na kero aliitoa kwa rais mwenyewe.
 
Wakuu,

Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?

Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.

Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao
Yan dikteta akiona hela nyingi kwenye akaunti ya mtu au kampuni binafsi anachanganyikiwa...kumbuka hela za Bureau de Changes, hela za Manji, hela za Bodi ya Korosho na sasa hela za Shule za St.Jude Arusha

Huyu Mhutu kiboko dah
 
Shule ya St. Jude iliopigwa ngwala na TRA kisa waligoma na hawakupeleka watoto wao kwenye kampeni za CCM, kama shule zingine.
 
Back
Top Bottom