Tetesi: Tsh Bilioni 425 za Mwekezaji zadaiwa kuzuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

Tetesi: Tsh Bilioni 425 za Mwekezaji zadaiwa kuzuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

Security hakuna watu wameshtuka ukitofautiana na MTU mmoja au akikuchukia hapa basi anakumaliza kwelikweli na hutopata haki popote kwenyechombo chochote tofauti na mataifa yaliyostaarabika ambamo viongozi wao wanaheshimu katiba,sheria na utu!!
Kwasasa siwezi kumshauri mgeni yeyote kuja kuwekeza tz hata marafiki zangu nawashauri wajifunze kuwekeza nchi za nje pia ili wakigeuzwa mashetani wagome vimrudie mtenda
Tanzania sasa kuna wimbi la kuwafungia wafanyabiashara A/C hovyo hovyo kisha kuwatishia kesi za uhujumu uchumi ( blackmail) wapo wajanja wachache hutumia jina la mtukufu kuwatesa wafanyabiashara kuwabambikia kodi kubwa na uonevu mwingineo kibao, magufuli itisha mkutano wa wafanyabiashara wakubwa na wa kati wanaruhusu watoe kero zao utashangaa kusikia unyanyasaji uonevu wanaofanyiwa kimya kimya
 
Mitano tena
Screenshot_20201204-194202.jpg
 
Mungu ibariki Kenya
Kenya Uganda Rwanda Zambia Benk kuu zao hawana Tatizo na mtu yeyote kuleta pesa toka popote Duniani ili mradi ile pesa utumike palepale isipite kwenda Nchi zingine au kugeuka kurudi inapotoka.

Kwa Tanzania hawataki pesa ije tokea popote ikija ni matatizo matupu mahojiano yanakuwa mengi na mwenye pesa asipokuwa makini hudhulumiwa hizo pesa kwa vitisho vya kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.

Ujinga huu ndiyo umedhorotesha uchumi wa Tanzania wafanyabiashara wanafeli wanafunga biashara zao wamekosa misaada toka nje kwa hofu ya BOT kuwapora pesa zao kienyeji kwa njia haramu za kishetani.
 
Tunazisikia baada ya kukamatwa!

Nchi ipo makini...mambo ya kuingiza bilioni 245 halafu zinaenda kwenye ugaidi ni BIG NO.

Wanaojiita wawekezaji wengi wamekuwa wakisolicit huge funds halafu tukiletewa tone tu la kujengea choo tunachekelea
 
Hakuna cha ugaidi wala cha nini hivyo ndivyo visingizio vya kuharalisha dhuluma zenu kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani, Yaani sasa mmebuni mbinu za kupora watu pesa zao ni kusingizia Ugaidi? Kwani pesa ya ugaidi ikitaka kuja inakuja hata kwa meli kisha boti wanazichukua huko kwenye maji, acheni kuwadhulumu watu pesa zao kwa visingizio vya kishamba na uonevu
 
Wa kwanza anayestahili kupoteza kazi ni yeye kwani yeye ndiye mhusika Mkuu wa hali kuwa ngumu kwa wawekezaji.
Siku itokee magufuli aitishe mkutano wa wafanyabiashara kisha awaruhusu kutoa kero zao dhidi ya BOT na TRA siku hiyo hiyo kuna wafanyakazi wengi watapoteza kazi kwa jinsi atakavyosikia malalamiko mengi mno
 
Kumbuka wale wa Bureau de change Dar na Arusha wameporwa mchana kweupe billions za mapesa yao.
Hakuna cha ugaidi wala cha nini hivyo ndivyo visingizio vya kuharalisha dhuluma zenu kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani, Yaani sasa mmebuni mbinu za kupora watu pesa zao ni kusingizia Ugaidi? Kwani pesa ya ugaidi ikitaka kuja inakuja hata kwa meli kisha boti wanazichukua huko kwenye maji, acheni kuwadhulumu watu pesa zao kwa visingizio vya kishamba na uonevu
 
Kumbuka wale wa Bureau de change Dar na Arusha wameporwa mchana kweupe billions za mapesa yao.
Ule uporaji haujaleta nafuu yeyote kwa maisha ya watanzania zaidi ya kuwanufaisha wachache waliopewa dhamana, maisha magumu hakuna nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma, hakuna unafuu wowote
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mi nakabiashara changu....nimepata wa wekezaji Ila process Ni ndefu na Ina Mambo mengi kweli,tumeamua kupeleka Kenya....Ila nazani kitengo kupelekwa kwenye ofisi ya raisi Ni sawa Ina weza kuraishisha baazi ya Mambo!Hawa wa chini wanamuangusha mzee baba
 
Hao jamaa wajue tu hela tushakula na hawana cha kutufanya....hii ndo awamu ya 5 bwana! #ZidumuFikraZaMwenyekiti
 
Zishatafunwa hizo na majizi na mafisadi sasa wanahaha watazipata wapi. Zitawatokea katika tundu lolote kwenye miili yao 😂😂😂
Hutumia vitisho vya kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi ili wapate kuwapora pesa zao ni mfumo wa hovyo kupata kutoa Tanzania tokea Nchi ipate uhuru
 
Hao jamaa wajue tu hela tushakula na hawana cha kutufanya....hii ndo awamu ya 5 bwana! #ZidumuFikraZaMwenyekiti
Pesa zote atapewa polepole kuzitumia kudidimiza demokrasia kurejesha mfumo wa chama kimoja hawataki maendeleo kwanza mpaka upinzani upotee kabsa
 
Hongera mdau ila usinisahau mdogo wako nikawe hata msimamizi tu wa izo biashara...bongo nyoso balaa mbele hatuoni kabisa tunapokwenda sie tusio na ajira
Kweli mkuu. Yaani tunayopitia! Mbele giza kabisa.
 
Back
Top Bottom