minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Tanzania sasa kuna wimbi la kuwafungia wafanyabiashara A/C hovyo hovyo kisha kuwatishia kesi za uhujumu uchumi ( blackmail) wapo wajanja wachache hutumia jina la mtukufu kuwatesa wafanyabiashara kuwabambikia kodi kubwa na uonevu mwingineo kibao, magufuli itisha mkutano wa wafanyabiashara wakubwa na wa kati wanaruhusu watoe kero zao utashangaa kusikia unyanyasaji uonevu wanaofanyiwa kimya kimyaSecurity hakuna watu wameshtuka ukitofautiana na MTU mmoja au akikuchukia hapa basi anakumaliza kwelikweli na hutopata haki popote kwenyechombo chochote tofauti na mataifa yaliyostaarabika ambamo viongozi wao wanaheshimu katiba,sheria na utu!!
Kwasasa siwezi kumshauri mgeni yeyote kuja kuwekeza tz hata marafiki zangu nawashauri wajifunze kuwekeza nchi za nje pia ili wakigeuzwa mashetani wagome vimrudie mtenda