TSMC: Hatutapokea ombi lolote kutoka Huawei kununua processor zetu kuanzia September 14, 2020

they don't have records to prosper on their own, nipe innovations hata tano tu ambazo mchina ame anzisha kwa mkono wake
You can google that kama shida yako ni kujua. Path anayopitia China haina tofauti na major technology power nyingine. Hata Japan vitu vingi walijifunza kwa wamarekani na baadae wakaanza kuwapiku walimu wao. Wangekuwa hawana potential, the west wouldn't care.
 
Siku moja Trump aliulizwa swali, keamba aseme ukweli kama kuna house hold hata moja ya Kimerikani ambayo haitumii bidhaa kutoka China! Trump alijibu kwamba hata yeye adilimia 75 ya vitu anavyo vitumia nyumbani mwake vinatoka Uchina
 
Wao kama walikua na teknolojia wao kwanini wakaacha WACHINA wakaiteka DUNIA kwa 5G tech ?!

US na Shost zake mnatapa tapa tuu
 
MKUU unaifananisha KIBAHA na UCHINA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
walisema watalauch os yao kama mbadala wa android imeishia wapi?
leo hii android ikimbana mchina anaweza kutoka kwenye soko la smart phones , mchina alikuwa wapi kustuka wakati android inapenetrate hadi inafikia level ya kuwa tishio kwa mchina,
Android ikimbana sasa ilikua inangojea nini mzee mpaka muda huu ?

Watambana sana HUAWEI ila watakubali wenyewe mwisho wasiku.....
 
So unaamini kwamba Apple wangedefy hiyo communication act!?
Alafu recall back time before the saga, Apple Market share ilikuja na baada ya hiyo issue ilikuwa.
Usiangalie ishu direct angalia General
why should i be general and be blurred rather
Wao kama walikua na teknolojia wao kwanini wakaacha WACHINA wakaiteka DUNIA kwa 5G tech ?!

US na Shost zake mnatapa tapa tuu
China haina 5G technology, China was buying and assembling the technology from USA. Now those transactions has been halted and the only resolve CHINA has to pursue is to try her copy pasting strategies on whatever 5G knowhow they had acquired and start a fresh.

for now they do not have it.
 
Snowden alikuaje MKUU ?!

Ama yule aliokamatwa kwa ubalozi wa kolombia kama sijakosea julian assange
 
watu wanasahau yaliyotokea kwenye kampuni ya Enron , whistleblower mdogo kabisa alisababisha kampuni kubwa ku file bankruptcy na kupotea kabisa. na katiba ikamlinda , ingekuwa kwenye ujamaa wetu huu jamaa alikuwa anapotea
Mbna ya snowden na julian assange hamyaongelei MKUU !?.
 
Siku moja Trump aliulizwa swali, keamba aseme ukweli kama kuna house hold hata moja ya Kimerikani ambayo haitumii bidhaa kutoka China! Trump alijibu kwamba hata yeye adilimia 75 ya vitu anavyo vitumia nyumbani mwake vinatoka Uchina
UCHINA kama maji MKUU.....
 
Siku moja Trump aliulizwa swali, keamba aseme ukweli kama kuna house hold hata moja ya Kimerikani ambayo haitumii bidhaa kutoka China! Trump alijibu kwamba hata yeye adilimia 75 ya vitu anavyo vitumia nyumbani mwake vinatoka Uchina
Huwa unamuelewa Trump anaposema he wants manufacturers back home?
 
Android ikimbana sasa ilikua inangojea nini mzee mpaka muda huu ?

Watambana sana HUAWEI ila watakubali wenyewe mwisho wasiku.....
hata huelewi, soko la smartphone za china kwa sasa zinategemea huruma ya google
 
hata huelewi, soko la smartphone za china kwa sasa zinategemea huruma ya google
wanampa bure ?!

Unaelewa maana ya huruma ?!

Kwan hio si biashara ama wanampa tu bure UCHINA ?!

yaani mtu anatoa pesa zake halaf eti unasema huruma [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mwenye patent za 5g nyingi ni nani.
Hivi wewe unaweza kumuuzia kitu mtu ambacho huna!? Common mkuu, hebu tumia tu common sense basi,
Hebu kacheki nani anaongoza kwa 5g patent alafu ndo urudi.
 
Ila Kwa Africa sisi hatutoathirika Sana maana hata kama mtu umelala ukaamka ukaona mpangilio wa cm yako umebadilika tutajua Google tu wame update kumbe mchina kashafanya yake mpaka tukija kujua ukweli ushaizoea huduma mpya .maana waafrika hawatoweza kuacha Tecno yake ndani akanunue iPhone Sisi shida Kula tu chochote sawa
 
Huawei zte na honor zote ni kampuni moja ila kwa majina tofauti. kwahiyo marekani kutowauzia huawei processor ni sawa na kazi bure.
Hiki Mimi ndiyo nakishangaa sana, sema nilichogundua kwamba wachangiaji wengi hawafatilii mambo kwa upana wake yaani huyu mmarekani anachofanya ni kujitekenya na kucheka mwenyewe

Ukiangalia kwa undani utaona hakuna vita yeyote ni umavimavi Tu

Vivo, oppo, Redmin

Kuna hii flagship killer One plus inauzwa Europe na India zote hizi ni bidhaa za china na zinauziwa processors sasa una ban Huawei unaacha hawa wengine wote si uzazwa

Fungia wote hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
funny fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…