TSMC: Hatutapokea ombi lolote kutoka Huawei kununua processor zetu kuanzia September 14, 2020

huwa tunaongelea vitu relevant, ishu ya Assange ni mbali kabisa na hii
How kuhusu edward na ufaragha wa watumia mitandao ?!

Ama unaelewa kwanini edward yupo MOSCOW ?!

alifikaje fikaje kule ?!
 
US anatamani afanze hvyo MKUU ila hawezi sasa.....
 
Sio mm najua kuzidi wao ila inabidi ujue ujanja wa makampuni makubwa duniani.
kwamba huwa hawajiwekezi sehemu moja tu.
Huyo jamaa root ni mmarekani wa igunga vijijini huko, hapo utakuta ana vifaa kibao vya kichina lakini

Keyboard inafanya kuwa shujaa, wa hatari, hajui unamuelekeza anakwambia wewe unajua kuliko wao [emoji3][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How kuhusu edward na ufaragha wa watumia mitandao ?!

Ama unaelewa kwanini edward yupo MOSCOW ?!

alifikaje fikaje kule ?!
ndo sababu nikikwambia uwe unaongea vitu relevant Snowden ni raia wa marekani aliyeamua kufudukua taarifa za siri za nchi yake , huawei ni kampuni ya china inayodhaniwa kuwa inadukua taarifa za marekani , kwa akili ya kawaida kabisa haya mambo yanaendana ?
 
Hivi mwenye patent za 5g nyingi ni nani.
Hivi wewe unaweza kumuuzia kitu mtu ambacho huna!? Common mkuu, hebu tumia tu common sense basi,
Hebu kacheki nani anaongoza kwa 5g patent alafu ndo urudi.
unazielewa sarakasi za patent mkuu.

The core of 5G in CHIP (semiconductors).

China has the highest reserve of earth materials required for manufacturing semiconductors, but they are no different from Tanzania with its one of the highest reserve of natural gas WITHOUT PROPER TECHNOLOGY TO EXTRACT IT.

Kumbuka this battle is fought on two fronts, Equipment front (which has essentially been left to the Chinese) and Technology front which is almost monopolized by the UNITED STATES OF AMERICA.

Hizo Ma patent unasema HUAWEI anazo nyingi ni kwenye ma EQUIPMENT yao. sio US technologies.

HUAWEI, tayari wanazo all the necessary equipments on which to mount 5G, those equipments are now like dead bodies, as they have been cut off from the air supply (Technology) for their livelihood.

Before TRUMP ERA, Erikson na NOKIA had almost surrendered the 5G battle to HUAWEI because they do not have financial back up from any government in the world to subsidy their operations and merchandising business.

These two companies, NOKIA & ERIKSON, were restrategizing their livelihood going forward in the wake of expensive 5G. Now, if USA is not the mother of 5G ask yourself what has happened during the past two months. They are signing 5G contracts every days, today UK has pledged to support them in implementing 5G, probably by giving sizable cash advances.
 
Huyo ukimueleza kwa summary namna hii hawezi kukuelewa kirahisi. tupia essay na magraphs.
 
wewe unawachukia sana CHINA sio?
 
Weka data za patent acha zigzaga, weka patent rights za 5g ownership, alafu ipi ina maturity kwenye 5g.hizo USA kampuni zipo zinazolipa loyalty kwa huawei
 
kweli sisi ni waafrica mana hata mambo yanavyokwenda hatujui,
extensions za android ni apk files , bila hii huwezi ku install program yoyote kwenye android , apk ni copyright ya google , next time ukiona we chat ya china kwenye simu ya android jua ina extensions ya apk.
kwa akili ya kawaida kabisa ili mchina naweza kufanya unachowaza itabidi aingie kwenye kesi za copyright na google , na huo ni msala mwingine
 
Hivi nani wa kwanza kudevelop 5g core chip?
Lengo la USA, ni ili kuipunguza speed huawei, coz alishaanza research ya 6g.
 
Weka data za patent acha zigzaga, weka patent rights za 5g ownership, alafu ipi ina maturity kwenye 5g.hizo USA kampuni zipo zinazolipa loyalty kwa huawei
niweke mimi au wewe mkuu? Na hakuna sehemu nimesema Kampuni za USA hazilipi layalty to Chinese Companies.

Nachosema mimi ni kwamba HUAWEI hawana patent kwenye core 5G techonologies, because they do not have those technologies?
 
Hivi nani wa kwanza kudevelop 5g core chip?
Lengo la USA, ni ili kuipunguza speed huawei, coz alishaanza research ya 6g.
Research never end mkuu, hata reserch ya covid-19 ilikuwa inafanyika CHINA tu hapa duniani.
 
Ishu hapo ilikua kuingilia ufaragha wa mawasiliano ambayo wametuhumiwa nayo UCHINA haliyakua hata wao US wanayo


Waache kelele wapambane na Giant UCHINA
 
asante sana mkuu kwa maelezo mazuri kabisa , watu hawaelewi kwa nini kuna silicon valley,
Silicon tunayo nyingi Africa hasa Congo, lakini bila USA ku process ni sawa na hakuna
 
Research never end mkuu, hata reserch ya covid-19 ilikuwa inafanyika CHINA tu hapa duniani.
Maswali ya msingi huyajibu, just answe
1. Nani wa kwanza kudevelop 5g core chip
2.Nani anaongoza kuwa na 5g patent rights
3.unamlipaje mtu loyalty kwa kitu ambacho hana na hajakuuzia na ukitumii
 
Huwa unamuelewa Trump anaposema he wants manufacturers back home?

Tatizo kubwa alilonalo Trump hatafakari kwa kina masuala ya Geopolitics bado ana amini kwamba USA ndiye kinara wa kila kitu Duniani they are very myopic wamefikia hatua ya kushindwa kusoma alama za nyakati kwamba influence yao Duniani ina decay exponentially, there is nothing they can do about it, yaliyo ipata Uingereza mwanzoni mwa karne hii ndio unainyemela USA, itatumbukizwa kwenye history trash can like Roman Empire na Ottman Empire.

Back to the main point - Trump anapo sema he wants manufacturers back home kwa nini hajiulizi kwa nini manufacturers walikimbilia kuwekeza nje ya Taifa lao in the first place - high cost of production ndio iliwakimbiza, swali ni,je, Trump ameleta mabadiriko gani yenye tija ya kuwashurutisha manufacturers kuwekeza tena nchini mwao, kauli za Trump kuhusu suala hilo lina lengo la kuwachota akili wapiga kura ili ashinde uchaguzi wa Novemba lakini ukweli wa mambo unabaki kwamba ni manufacturers wachache walio hitikia wito wa Trump, ib fact wengi wao wamekimbilia kuwekeza India, Mexico, Ujerumani na Uchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…