TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Naelewa ni unlimited in the sense of expiry. Nachosema mteja aweze kutengeneza kiwe unlimited usiku tu au mchana tu. Kwa uelewa wangu price usiku inakuwa ndogo, so more GB kuliko kuwa ni 24 hrs unlimited.

bnhai
Hiyo ni 24hrs tu hakuna cha usiku ndugu.

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Mimi nisiye na line ya TTCL hapo bado hujanishawishi kabisaaaaaaaaaa!!!!!!

You can do better!!!!

BONNIE GOLD

Hiki kifurushi ni UNLIMITED, yaani unaweza kujiunga leo utakitumia hata mwakani.
Ushawahi kupata GB 5 kwa Tsh 6,000?
Je, wajua mtu akiwa na salio la Tsh 413 anapata Dakika 100 mitandao yote, SMS 50 na MB 100 bila kikomo?[emoji16]

Rudi Nyumbani hujachelewa.
 
Mtandao wenyu ni sehemu ya serikali.. Vema kuwa wazalendo na kuipa hadhi lugha yetu adhimu ya Kiswahili kwa kuvipa majina ya Kiswahili vifurushi vyenu
 
Huu mtandao wa nchi mbona unakuwa na bundle za kutisha sana kwa gharama,Nyie si ndo mngetakiwa muwe na gharama nafuu ili kusaidia makundi tofauti tofauti katika jamii,mfano wajasiriamali na wanachuo
 
Ttcl nlijiunga na kifurushi cha fiber pack laki2kwa mwezi unlimited 100mbps mmenikatia bila taatifa nashangaa napata 4mbps kwa bei ileile
 
Habari naitaji kufaham kuhusu ma dealer wa vocha kuna commission kama kampuni zingine wanatoa commision kila mwezi kutokana na mauzo yako ya mwezi na kama hiyo commision mnatoa ni kwakiwango gani mtu afikie ndo muanze kutoa
 
Vocha bado n changamotoo yaan madukani hamna
 
Habari naitaji kufaham kuhusu ma dealer wa vocha kuna commission kama kampuni zingine wanatoa commision kila mwezi kutokana na mauzo yako ya mwezi na kama hiyo commision mnatoa ni kwakiwango gani mtu afikie ndo muanze kutoa

Mbona sijapata jibu[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Oya TTCL kuna tatizo gani? Mmebadili Menu au? GENTAMYCINE napiga *150*71# na ile ya *148*30# naambiwa ni Invalid wakati nina mwaka sasa natumia TTCL yenu na sijapatwa na Kero hii.

Tafadhali nijibuni upesi kabla sijachukia.

Cc: TTCL Customer Care
 
Mkuu vipi kwa upande wa Internet speed wakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…