Naelewa ni unlimited in the sense of expiry. Nachosema mteja aweze kutengeneza kiwe unlimited usiku tu au mchana tu. Kwa uelewa wangu price usiku inakuwa ndogo, so more GB kuliko kuwa ni 24 hrs unlimited.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa ni unlimited in the sense of expiry. Nachosema mteja aweze kutengeneza kiwe unlimited usiku tu au mchana tu. Kwa uelewa wangu price usiku inakuwa ndogo, so more GB kuliko kuwa ni 24 hrs unlimited.
Naelewa ni unlimited in the sense of expiry. Nachosema mteja aweze kutengeneza kiwe unlimited usiku tu au mchana tu. Kwa uelewa wangu price usiku inakuwa ndogo, so more GB kuliko kuwa ni 24 hrs unlimited.
Mimi nisiye na line ya TTCL hapo bado hujanishawishi kabisaaaaaaaaaa!!!!!!
You can do better!!!!
Nilikua natafuta kama kuna hoja hata moja za wadau hapo juu iliyojibiwa.
Nikweli huko vijijini hakuna hata vocha Wala mawakala.Mtafanya mengi lakini bila kuboresha reliability ya mtandao wenu mtaendelea kusuasua.
Nimeona ni 24 hrs. Ndio maana nikakwambia km ni mtu kujitengenezea, kwanini kusiwe na option ya kuchagua muda? Nilidhani ungelichukua. Ni mahitaji ya wateja si ya kwako
Mtandao wenyu ni sehemu ya serikali.. Vema kuwa wazalendo na kuipa hadhi lugha yetu adhimu ya Kiswahili kwa kuvipa majina ya Kiswahili vifurushi vyenuNovemba 26,2021 Mkurugenzi wa Biashara Vedastus Mwita na Meneja Masoko Janeth Maeda wa TTCL Corporation wakizindua kifurushi kipya BUFEE PACK ambacho kinampa fursa Mteja kujitengenezea bando kwa gharama nafuu bila kikomo.
Piga *148*30# kisha chagua namba 6.
#RudiNyumbaniKumenoga
![]()
![]()
Mtandao wenyu ni sehemu ya serikali.. Vema kuwa wazalendo na kuipa hadhi lugha yetu adhimu ya Kiswahili kwa kuvipa majina ya Kiswahili vifurushi vyenu
Huu mtandao wa nchi mbona unakuwa na bundle za kutisha sana kwa gharama,Nyie si ndo mngetakiwa muwe na gharama nafuu ili kusaidia makundi tofauti tofauti katika jamii,mfano wajasiriamali na wanachuoNovemba 26,2021 Mkurugenzi wa Biashara Vedastus Mwita na Meneja Masoko Janeth Maeda wa TTCL Corporation wakizindua kifurushi kipya BUFEE PACK ambacho kinampa fursa Mteja kujitengenezea bando kwa gharama nafuu bila kikomo.
Piga *148*30# kisha chagua namba 6.
#RudiNyumbaniKumenoga
![]()
![]()
Ngoja niendelee kupambana na mabepari wangu niko nao miaka 20 sasa
Vocha bado n changamotoo yaan madukani hamnaNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu maana ulipo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate msaada toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza.
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Zifuatazo ni ofisi zetu za huduma kwa wateja ndani ya jiji la Dar es Salaam.
1. POSTA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Samora, jengo la Extelecom ghorofa la Chini.
2. KARIAKOO
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Makamba/Msimbazi, jengo la Akamba Bus Service.
3. UPANGA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Magole/Maliki, karibu na Diamond Jubilee.
4. MAGOMENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Minaki/Fundiki, karibu na Manispaa ya Kinondoni.
5. KIJITONYAMA
[emoji654][emoji654][emoji654]Kijitonyama Sayansi, barabara ya Ali Hassan Mwinyi/ Rose Garden.
6. OYSTERBAY
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Haile Selassie.
7. UBUNGO
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Ubungo Plaza/ Ghorofa la chini.
8. MBEZI BEACH
[emoji654][emoji654][emoji654]Mbezi Makonde/ Jengo la Shamo Tower.
9. TABATA
[emoji654][emoji654][emoji654]Tabata Bima, barabara ya Segerea karibu na kanisa la Romani Katoliki.
10. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
[emoji654][emoji654][emoji654]Jirani na tawi la benki ya NBC, jirani na kilipo kituo cha polisi cha UDSM.
11. BARABARA YA PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Mwalimu Nyerere, karibu na Sigara.
12. WAGENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Uwanja wa ndege.
13. PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Quality Centre, ghorofa la chini.
14. KISUTU
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Mchafukoge/Libya jengo la Haad Plaza.
15. TEGETA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Kibo Complex, ghorofa la chini.
16. MWANANYAMALA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Mwananyamala A, barabara ya Mwinjuma yalipo makutano ya Mwananyamala A.
17. KURASINI
[emoji654][emoji654][emoji654]Kurasini Exchange Area, jirani na Chuo cha Diplomasia.
Wasiliana nasi:
[emoji337]022 210 0100
[emoji390] 0738 151 511
[emoji273]www.ttcl.co.tz
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1529645
Karibu.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Vocha bado n changamotoo yaan madukani hamna
Habari naitaji kufaham kuhusu ma dealer wa vocha kuna commission kama kampuni zingine wanatoa commision kila mwezi kutokana na mauzo yako ya mwezi na kama hiyo commision mnatoa ni kwakiwango gani mtu afikie ndo muanze kutoa
Mkuu vipi kwa upande wa Internet speed wakojeOya TTCL kuna tatizo gani? Mmebadili Menu au? GENTAMYCINE napiga *150*71# na ile ya *148*30# naambiwa ni Invalid wakati nina mwaka sasa natumia TTCL yenu na sijapatwa na Kero hii.
Tafadhali nijibuni upesi kabla sijachukia.
Cc: TTCL Customer Care