TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Mkuu labda wanajua leo ni ijumaa au jumamosi🤣🤣😅
 
Mkuu labda wanajua leo ni ijumaa au jumamosi🤣🤣😅

Yaani hata vitu vidogo hivyo vya kufanya marketing bidhaa hawawezi ndo utegemee wakupe GB10 kweli kwa 2500

Tuna safari ndefu sana wacha Makaburu wa Vodacom na wavietnam waendelee kutunyoosha tu

Napenda sana kuhamia TTCL ila wanakatisha tamaa kwakweli
 

toa maoni yako
 
Kwakweli aisee yani wanakuwa kama hawako serious vile
 
Hebu weka bundle la kukutosha ili ukirudi hewani tukikuuliza baadhi ya mambo usikimbie tena.
 
katika mtandao unaochekesha ni huu mteja ndo anafuata huduma badala ya huduma kumfuata mteja. wengine hatujui hata line zao zinafananaje.mitandao mingine wapo mpaka vichochoroni kutangaza na kuuza line zao wao wako ofisini wanazunguka kwenye viti wanang'atang'ata tu kalamu. na afisa masoko alisomea biashara kuajiriwa anakula mshahara kila mwezi.dah izi elimu bana basi tu maana hata kuiga tu hazijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…