TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

oya rudisheni social media mnaboa mjue mpaka leo tarehe 1 bado tuu
 
hivi hawa TTCL si wana operate kwa kutumia kodi za Watz, mbona hawapo serious?
 
Nimetumia wifi yao kwa miaka3 nakaa bunju, uzalendo umenishinda nimerudi smile, bure kabisa
 
Mnazengua sana. Muda huu no network! Huu sio mtandao wa serikali mmechoka na kushindwa hata kurudisha network!!
 
Daaa hapa nilipo hii line hata kusoma tu haiwezi mwanzo ilikuwa inasoma lakin siku hizi hata ile afadhali hakuna
 
Tokea tumeanza kulalamikia changamoto ya kupata vocha, mpaka leo kweli mnashindwa kuweka mawakala katika wilaya?
 
Ttcl poleni nimevunja line zenu zote ya kwangu ya mke wangu ya mama yangu ya wadogo zangu wawili zote nimezitupa maana hazina faida yoyote uzalendo umenishinda kwa kwel nilijitahidi kuwanunulia line hao nilio wataja lkn badala ya kuheshimu wateja nyie mnaona kama kinyesi
 
TTCL Corporation bandika bandua ya saa mbili ilikuwa sawa, na nightpack ya Gb 10 tena nyie mngefanya unlimited na mngekuwa na vifurushi vizuria sana, sijui mnakwama wapi, kwakweli mnavyoenda nadhani na mara hii kuendesha mtandao utawashinda pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…