Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
Utajuta.Nilikua na mpango wakusajili laini ya ttcl lakini kwa comment hizi hapana bora nibakie na halotel yangu na voda tu yaishe.
Nyumbani Kumerogwa siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajuta.Nilikua na mpango wakusajili laini ya ttcl lakini kwa comment hizi hapana bora nibakie na halotel yangu na voda tu yaishe.
Tangu lini mkuu?Usithubutu kutumia T pesa utakuja kulia... Wamepoteza tsh 50k zangu kizembe sana wakati nalipa bill... Mpaka leo hela imepotea hewani na hakuna msaada wowote wanatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usithubutu kutumia T pesa utakuja kulia... Wamepoteza tsh 50k zangu kizembe sana wakati nalipa bill... Mpaka leo hela imepotea hewani na hakuna msaada wowote wanatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
So trueUkipiga simu customer care wanakuweka kama ulikuwa na safari ya kutoka Dar mpaka Malinyi Ulanga Unafika
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yaaniUsithubutu kutumia T pesa utakuja kulia... Wamepoteza tsh 50k zangu kizembe sana wakati nalipa bill... Mpaka leo hela imepotea hewani na hakuna msaada wowote wanatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
TPESASio siri ngoja niende kwenya mada moja kwa moja.
Huu mtandao una matatizo mengi sana kama yafuatayo:
1. Huduma ya T PESA
Aisee huu mtandao kama utatuma hela siku ya Ijumaa usiku ghafla litokee tatizo wallah utakuja kuhudumiwa siku ya Jumatatu.
Hili tatuzo limenipata juzi hapa Ijumaa tarehe 7 yaani nilitamani kulia wallah.
2. Vifurushi
Hawa majamaa ukitaka uende nao sawa kwenye masuala ya MBs nakushauri tafuta kitambulisho cha chuo.
Aisee yaani GB 5 kwa Tsh 5000 mwezi mzima.
3. Vocha
Asikwambie mtu, TTCL hawana vocha aisee. Jana nimeenda pale Makao Makuu niliulizia vocha ya 500 hakuna wanasema zipo za 1,000.
Aisee ukienda kuulizia madukani yaani muuzaji anaweza akashangaa maana hiyo vocha ya TTCL ndiyo kwanza anaisikia kwako.
Kilichonipata jana
Nilijiapiza nikaonane na Afisa Masoko pale Makao Makuu pale Posta ili nimshauri kitu kimoja tu. Yaani nikafika mapokezi nikaonana na mama ana sura ngumu.
Yule mama wa mapokezi aliongea sana mpaka wakati naondoka nikamtukana kwa sauti ya chini. Maana shida yangu nilitaka kuonana na Afisa Masoko au CEO wao.
Nilichotaka kumwambia afisa masoko
Nilitaka nimwambie kama vocha mtaani ni ngumu basi katika option ya kununua bando mteja achague alipe upitia T PESA au salio la kawaida.
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi alfajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
haaaaaaa babuuuu unapenda kulalamika sana, wamekuongezea dk za kupiga mitandao yote, wamekuongezea SMS bado unalalamika.KWELI MABORESHO TUMEYAONA KUTOKA KIFURUSHI CHA MB600 KWA 500 HADI KWENDA BUKU.
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
#NyumbaniNASEPA
#NyumbaniKUMEROGWA
#NyumbaniKUMEINGIAVICHAA
acha uongo, mm nakaa kimanga mwisho network iko full tena 4G
Acha zako, Nyumbani kuzuri sana, kunavifurushi vizuriUtajuta.
Nyumbani Kumerogwa siku hizi
Hahaha yani sikuamini macho yangu juziKWELI MABORESHO TUMEYAONA KUTOKA KIFURUSHI CHA MB600 KWA 500 HADI KWENDA BUKU.
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
#NyumbaniNASEPA
#NyumbaniKUMEROGWA
#NyumbaniKUMEINGIAVICHAA
Mkongo ni mali ya serikali, ttcl ni msimamizi tuTTCL wao ndio wamiliki wa mkongo wa taifa wa fiber, nashindwa kuelewa kwanini wako slow?