View attachment 1479110
Ndugu mteja,
Je una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu?
Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma zetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
[emoji654] Ni tatizo gani?
T - PESA, SMS, kupiga simu, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano na kadhalika.
[emoji654] Maeneo gani?
Tukifahamu eneo ulilopo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe.
[emoji654] Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
[emoji654] Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza?
[emoji654] Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi lifanyike ili tuzidi kuboresha huduma zetu.
Karibu
[emoji2398]TTCL Corporation.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Sent using
Jamii Forums mobile app