TTCL Customer Care
Official Account
- Aug 18, 2016
- 279
- 317
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyo bora.Yes, nyumbani kumenoga tena siyo kidogo, kumenoga kweli kweli lakini sasa jitahidini kuboresha huduma zenu kuendana na kasi ya ushindani.
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyo bora.Suala LA mbs tu nakubali. Mpo vizuri...kama kwa huduma za toboa na Bandika bandua...mpo vizuri.
Tatizo ni pale napo tuma sms kwenda mtandao mwingine...hapo ndo kimbembe...wakati mwingine naweza kuresend mpaka naamua kuachana na matumizi ya sms. Sijajua mnakwama wapi ttcl
Piga *149*03#
Kisha chagua YA KWAKO TU.
Utaikuta
View attachment 1478349
Sent using Jamii Forums mobile app
Huduma zenu hazina ubora wala unafuu ukikinganisha na makampuni ya mabeberu sasa sijui nani beberu zaidi hapa.
Kwangu napata 3000 dk 120, 1gb kwa siku 3
Tunashukuru kwa kutuandikia.Huduma kwa wateja kuna shida gani?
Mtu unapiga simu zaidi ya dk 20 simu haipokelewi, hii sio njema.
Mtandao wenu unashida, mtu huwezi kutuma msg yenye character nyingi inagoma, then mnatoa msg 50 ? Are you serious kwenye ushindani kweli?
Tunashukuru kwa kutuandikia.Wekeni kifurushi Cha data tupu kisiwe na izo dakika,sms itapendeza
Tunashukuru kwa kutuandikia.Tulitegemea kupata unafuu,matokeo yake wao ndio wanazidi kutudidimiza
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.Nyie mnazingua tu, SIM card ina bundle halafu mtandao shida
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.Huu mtandao ni utopolo wa hali ya juu.
1.Picha linaanza simu ina bando ila kuperuzi haiwezekani ama usubiri usiku sanaaaa
2.Kupiga simu customer care muda wowote wakipokea katambikie mizumu ya kwenu
3.*148*30# ukachagua INTERNET then ukaenda kwny T-connect plus unakutana na vifurushi vya siku
-Tsh500=300mb
-Tsh1000=750mb
-Tsh2000=2gb
Yani vifurushi vya siku vina gharama kubwa kuliko mitandao mengine yote niliowai kutumia afu bila kusahau kuwa net yao ni pasua kichwa ukitoka mitaa ya posta tu hupati kitu
4.Ukitumia T-Pesa huwe tayari na ela ya akiba mana uwezekano wa muamala kutokukamilika ni mkubwa afu ukiwapigia simu ata wiki nzima hawapokei
5.Makato ya T-Pesa kuenda sambamba na mitandao pendwa mingine huu nao ni uzwauzwa wa kiwango cha PhD.
6.Taarifa za TCRA zinasema wateja kama laki 6 wanatumia huu mtandao maajabu ni kuwa wanashindwa kuudumia wateja laki 6,je wataweza wateja 10M+ km voda na tigo
7.Mtandao ambao ukitoka Dar kwenda mikoani simu yako inageuka kuwa Calculator mana hakuna mtandao tena hapo
8.Mtandao ambao nikiweka jero napata dakika 10 tu usawa wenyewe huu wa magu
9.Mwisho nilikuwa mteja mtiifu wa huu mtandao kipindi unaanza ila nilishatupilia mbali line yao mana ni zaid ya utopolo aseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa kutuandikia.Natumia TTCL kama mwaka hivi umepita.
Vifurushi vyao sio vizuri sana na havina options nyingi.
Menu yao mfano tu ya kuangalia Salio la Bundle dah ipo ovyo. Yaani ukitaka kuangalia meseji unaangalia peke yake, ukitaka MB peke yake, dakika peke yake.
Speed ya internet sasa. Ikifika jioni hakuna kitu itasoma LTE ila speed ya 2G.
Tunashukuru kwa kutuandikia.Nimevunja line yao..Vodacom ndo kila kitu,tukubali tukatae
Tunashukuru kwa kutuandikia.sijawahi kuwaona mawakala wao mtaani ukitaka kusajili laini yako kwa alama za vidole lazima ofisi zao.
Tunashukuru kwa kutuandikia.Hata vijijini haipatikani kwa kiwango cha namna wanavyojigamba!!!! Halaf huduma kwa wateja mikoani bado sana. Mikoani ukijaribu kuutembelea ofisi za voda, tigo, airtel, hallotel halafu unafanishe na TTCL kuna tofauti kubwa sana kwenye huduma za wateja. TTCL bado wana wazee ambao ni wazito kuhudumia wateja. Utawakuta wamekaa kwenye ma computer yao yale makubwa ya kipindi cha nyuma sana!!!
Hakuna mnachoweza kufanya nyie ni utopolo tu,niambie mpk kupokea simu customer care mpk mjue napatikana wapi.Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Hakika kumenoga.Rudini nyumbani kumenoga
Tunashukuru kwa kutuandikia.Ni wa hovyo+. Unamaliza bandle wala hakuna kujulishwa kwa sms kama mitandao mingine. Utashangaa unapiga cm haziendi au unatumia intrnet hai-respond.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa kutuandikia.Nakazia... hivi yupo aliyewahi kupiga simu customer care (huduma kwa wateja) akasaidiwa/akapokelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanin msifunge minala ya mawasiliano nchi nzima?Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.