TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Yes, nyumbani kumenoga tena siyo kidogo, kumenoga kweli kweli lakini sasa jitahidini kuboresha huduma zenu kuendana na kasi ya ushindani.
Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyo bora.
Asante kwa kuchagua TTCL

Rudi Nyumbani Kumenoga.
 
Suala LA mbs tu nakubali. Mpo vizuri...kama kwa huduma za toboa na Bandika bandua...mpo vizuri.

Tatizo ni pale napo tuma sms kwenda mtandao mwingine...hapo ndo kimbembe...wakati mwingine naweza kuresend mpaka naamua kuachana na matumizi ya sms. Sijajua mnakwama wapi ttcl
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyo bora.
 
Piga *149*03#
Kisha chagua YA KWAKO TU.
Utaikuta
View attachment 1478349

Sent using Jamii Forums mobile app
Huduma zenu hazina ubora wala unafuu ukikinganisha na makampuni ya mabeberu sasa sijui nani beberu zaidi hapa.
Kwangu napata 3000 dk 120, 1gb kwa siku 3
Huduma kwa wateja kuna shida gani?
Mtu unapiga simu zaidi ya dk 20 simu haipokelewi, hii sio njema.
Mtandao wenu unashida, mtu huwezi kutuma msg yenye character nyingi inagoma, then mnatoa msg 50 ? Are you serious kwenye ushindani kweli?
Tunashukuru kwa kutuandikia.
Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyo bora.
 
Huu mtandao ni utopolo wa hali ya juu.
1.Picha linaanza simu ina bando ila kuperuzi haiwezekani ama usubiri usiku sanaaaa
2.Kupiga simu customer care muda wowote wakipokea katambikie mizumu ya kwenu
3.*148*30# ukachagua INTERNET then ukaenda kwny T-connect plus unakutana na vifurushi vya siku
-Tsh500=300mb
-Tsh1000=750mb
-Tsh2000=2gb
Yani vifurushi vya siku vina gharama kubwa kuliko mitandao mengine yote niliowai kutumia afu bila kusahau kuwa net yao ni pasua kichwa ukitoka mitaa ya posta tu hupati kitu
4.Ukitumia T-Pesa huwe tayari na ela ya akiba mana uwezekano wa muamala kutokukamilika ni mkubwa afu ukiwapigia simu ata wiki nzima hawapokei
5.Makato ya T-Pesa kuenda sambamba na mitandao pendwa mingine huu nao ni uzwauzwa wa kiwango cha PhD.
6.Taarifa za TCRA zinasema wateja kama laki 6 wanatumia huu mtandao maajabu ni kuwa wanashindwa kuudumia wateja laki 6,je wataweza wateja 10M+ km voda na tigo
7.Mtandao ambao ukitoka Dar kwenda mikoani simu yako inageuka kuwa Calculator mana hakuna mtandao tena hapo
8.Mtandao ambao nikiweka jero napata dakika 10 tu usawa wenyewe huu wa magu
9.Mwisho nilikuwa mteja mtiifu wa huu mtandao kipindi unaanza ila nilishatupilia mbali line yao mana ni zaid ya utopolo aseee

Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
 
Natumia TTCL kama mwaka hivi umepita.

Vifurushi vyao sio vizuri sana na havina options nyingi.

Menu yao mfano tu ya kuangalia Salio la Bundle dah ipo ovyo. Yaani ukitaka kuangalia meseji unaangalia peke yake, ukitaka MB peke yake, dakika peke yake.

Speed ya internet sasa. Ikifika jioni hakuna kitu itasoma LTE ila speed ya 2G.
Tunashukuru kwa kutuandikia.
Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyo bora.
 
Hata vijijini haipatikani kwa kiwango cha namna wanavyojigamba!!!! Halaf huduma kwa wateja mikoani bado sana. Mikoani ukijaribu kuutembelea ofisi za voda, tigo, airtel, hallotel halafu unafanishe na TTCL kuna tofauti kubwa sana kwenye huduma za wateja. TTCL bado wana wazee ambao ni wazito kuhudumia wateja. Utawakuta wamekaa kwenye ma computer yao yale makubwa ya kipindi cha nyuma sana!!!
Tunashukuru kwa kutuandikia.
Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.
 
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Hakuna mnachoweza kufanya nyie ni utopolo tu,niambie mpk kupokea simu customer care mpk mjue napatikana wapi.

Nimeshapoteza ela zangu kibao kwny hiyo mnaita T-Pesa na ela hazijulikani zilienda wapi.Nilishajuka mpk kwa some body Aron ni boss wenu sijui ni dogo dogo hv mweupe.

Mmekuwa wajinga sana nyie,Strategy za biashara hamjui.Unawekaje bei shindani na mitandao pendwa ukiwa na wateja less than 600,000 uku wenzako wana 13m and 15m.(tigo and voda).Hamjui tigo walipenetrate vipi kwny soko miaka ya 2004 huko kwa kuweka usiku bure na Tsh1/sec wakati soko lilikuwa ni Tsh6/sec.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man unaboa, badala ya kujibu hoja unareply kwa copy na paste.
 
Back
Top Bottom