wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Tunakusikiliza.
Eeh endelea
Tuma salamu kwa watu wanne tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakusikiliza.
Eeh endelea
Usiwaze mkuu.Sawa pamoja na matangazo mazuri, lkn boresheni internet speed yenu. Is almost a snail speed
huyu ndio anaweza kuwa member mjinga kuliko wote JFUtapigiwa simu na kuulizwa unamjua ‘Yesu Mpya’ ?ukiweza kumtaja bila shaka utakua ni mtumishi na utaungwa kwny kifurushi mkuu.
huyu ndio anaweza kuwa member mjinga kuliko wote JF
Huwa unaenda kuangalia umri wa wafayakazi au kutafuta huduma?Sasa Co. imejaza wazee tupu ofisini kwao,ukienda kutaka huduma asubuhi tu watu wana visirani cyao wkt washindani wao Voda/Tigo wamejaza vijana tupu na kazini ni mwendo wa performance appraisal kwa sana.
Upo maeneo gani?Natumia laini ya ttcl,mbona intaneti ipo vizuri?
Kuna maeneo mengine haishiki kama laini zingine zilivyo,tusibeze,tuwatie moyo ili kuboresha shirika kwa manufaa ya Watanzania.
Kuwa mzalendo,penda vya nyumbani daima!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani bei ni 75,000Je, napataje modem za mtandao wa TTCL, na nazipata kwa bei ya shingapi?
hapo ndio mwisho wa upeo wa akili yako!Na aliye reply post ya mjinga ndiye mke wangu kipenzi.
Ikifutwi kitu hapaWasipotoa tutaomba ufutwe maana huwa wanakuja bila mpango na kuacha rundo la maswali. Sasa usiku huu huyo atayejibu maswali yetu ni meneja, mkurugenzi au?
Sioni majibu yakipata maswali.
Huwa unaenda kuangalia umri wa wafayakazi au kutafuta huduma?
Shauri kiutu uzima ili waboreshe huduma kwa wateja,achana na habari ya kukosoa kazi ya Mungu katika uumbaji.
Hata hao unaowaona vijana kampuni zingine watakuwa wazee/watazeeka,kwa hiyo waondolewe kazini?
Hivi wewe wazazi wako/wajomba zako/shangazi zako/rafiki zako/ndugu na jamaa zako hakuna waliozeeka na bado wanatoa huduma kwenye kampuni hizi na ofisi zingine?
Waondolewe?Utafurahi na kupiga vigelegele?
Shauri ukitanguliza busara,acha mihemuko.
Uzee dawa,au hujui?
TUSIPOTOSHANE!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo ndio mwisho wa upeo wa akili yako!
Hv wajomba ttcl,vgezo gani viliwapelekea adi mkatuongezea Bei ya vifurush vya chuo..yaani kutoka 1GB kwa 1500 adi 2GBB kwa 2500 kati mitandao mengne vfurush vya chuo wiki tunapata vya 1000 adi 1500 (1GB).