TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Natumia laini ya ttcl,mbona intaneti ipo vizuri?

Kuna maeneo mengine haishiki kama laini zingine zilivyo,tusibeze,tuwatie moyo ili kuboresha shirika kwa manufaa ya Watanzania.

Kuwa mzalendo,penda vya nyumbani daima!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Co. imejaza wazee tupu ofisini kwao,ukienda kutaka huduma asubuhi tu watu wana visirani cyao wkt washindani wao Voda/Tigo wamejaza vijana tupu na kazini ni mwendo wa performance appraisal kwa sana.
Huwa unaenda kuangalia umri wa wafayakazi au kutafuta huduma?

Shauri kiutu uzima ili waboreshe huduma kwa wateja,achana na habari ya kukosoa kazi ya Mungu katika uumbaji.

Hata hao unaowaona vijana kampuni zingine watakuwa wazee/watazeeka,kwa hiyo waondolewe kazini?

Hivi wewe wazazi wako/wajomba zako/shangazi zako/rafiki zako/ndugu na jamaa zako hakuna waliozeeka na bado wanatoa huduma kwenye kampuni hizi na ofisi zingine?

Waondolewe?Utafurahi na kupiga vigelegele?

Shauri ukitanguliza busara,acha mihemuko.

Uzee dawa,au hujui?

TUSIPOTOSHANE!!!!

Uzee dawa huko kwenu labda.

Unaenda kuulizia huduma za 4g wanatoa macho tu,waulize khs 4k streaming hakuna kitu,vocha kupatikana madukani hakuna.

Ila sababu wewe babu zako wanafanya kazi ttcl then endelea kutetea matumbo yao.
 
Hv wajomba ttcl,vgezo gani viliwapelekea adi mkatuongezea Bei ya vifurush vya chuo..yaani kutoka 1GB kwa 1500 adi 2GBB kwa 2500 kati mitandao mengne vfurush vya chuo wiki tunapata vya 1000 adi 1500 (1GB).
 
Tangia mniibie hela yangu T pesa,.baada ya kutaka kifurushi Cha 1500,.mkaniunga Cha 2500,.na dakika tofauti na zinazooneka kwenye menyu yenu...nlipowapigia cm mkaniambia eti huwa inatokea..laini nliiweka pemben na Wala sitegemei kutumia huu mtandao..maisha yangu yote..
 
Hv wajomba ttcl,vgezo gani viliwapelekea adi mkatuongezea Bei ya vifurush vya chuo..yaani kutoka 1GB kwa 1500 adi 2GBB kwa 2500 kati mitandao mengne vfurush vya chuo wiki tunapata vya 1000 adi 1500 (1GB).

Unadhani watapataje gawio la kupeleka kule serikalini muda ukifika?
 
Mbona haya malalamiko yenu mimi siyaoni kwangu? TTCL haijawahi kuniangusha kuanzia bundle hadi speed ya internet.
 
Back
Top Bottom