TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Lile tangazo lao la "rudi nyumbani kumenoga" wametumia kijamaa kimevalia suruali chini ya makalio utadhani kimejinyea!
 
Network ya internet kwenye simu za mikononi haitegemei ofisi bali minara. Unaweza kuwa karibu na hiyo ofisi ikawa hafifu lakini ukienda mbali kabisa sehemu iliyo vijijini kama mnara uko karibu, ikawa nzuri. Bila shaka wao wana fiber connection na hawategemei wireless zinazotumika kwenye simu.
 
Achana na internet, basi hata network bars hakuna hata moja?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lile tangazo lao la "rudi nyumbani kumenoga" wametumia kijamaa kimevalia suruali chini ya makalio utadhani kimejinyea!
 
Network ya internet kwenye simu za mikononi haitegemei ofisi bali minara. Unaweza kuwa karibu na hiyo ofisi ikawa hafifu lakini ukienda mbali kabisa sehemu iliyo vijijini kama mnara uko karibu, ikawa nzuri. Bila shaka wao wana fiber connection na hawategemei wireless zinazotumika kwenye simu.
Well said
 
Uzi wa kipumbaf sana huu.

Iweje wateja tujiulize na kujijibu sisi wenyewe kwa njia ya zogo wakati staff walioanzisha uzi hawatoi majibu, ushauri wala suluhisho lolote.

Ina maana walianzisha uzi huu kutusanifu na kutung'ong'a akili zetu siyo?
Elezea tatizo lako ili upate ufumbuzi kuliko kutukana.
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi...
Kwa kuwa ni mali ya umma jaribu kuangalia na kulinganisha na mitandao mingine hali iko vp kwa sababu mitandao mingine Unapat hadi gb kwa 1000 wiki nzima, sasa na nyie angalieni hapo hasa kufanya gb 2 kwa 1000 wiki
 
Mkuu, mbona GB 1 kwa 1000 kipo.
 
Jamani TTCL hapa tabata kimanga, jirani na shule ya msingi kisukuru mtandao wenu unasunbua sana. Internet haipatikani kabisa. Ni muda mrefu hamtaki kutatua tatizo hili. Kulikoni TTCL Itabidi tuseme nyumbani HAKUNOGI
Pole kwa tatizo. Naomba utume namba yako PM kwa msaada zaidi.
 
TTCL Customer Care

Hi,
Sometime last year, my wife and self acquired two TTCL mobile SIM cards from one of your promotions official. Despite handing copies of our NIDA cards, both numbers ended up being registered under one name.
In wake of the TCRA's new regulations what can be done to rectify the matter? we both would like to retain your services.
Thanks.
Hello!
Thank you for using our services, please visit our office with your wife and with your IDs so that everyone can own a line with your information
 
Je, kuna tatizo au changamoto yeyote unapata pindi unapotumia huduma ya intaneti kutoka TTCL?

Zingatia vitu vifuatavyo ili tuweze kutatua tatizo lako:

[emoji654][emoji654]Sehemu unayoishi.
Ni vyema kama utataja mji, wilaya na hata kijiji ulichopo ili tatizo litatuliwe.

[emoji654][emoji654]Kifaa uachotumia kwa ajili ya intaneti.
Mfano: Modem, Wi-Fi, simu janja au kinginecho.

[emoji654][emoji654]Mawasiliano yako, namba ya simu ni muhimu.

Unaweza kuja PM au kuwasiliana na TTCL Customer Care wetu WhatsApp kwa namba 0738 151 511.

Rudi Nyumbani Kumenoga.

JamiiForums141362790.jpg
 
TTCL hamna mipando endelevu na huduma zenu mmewalenga zaidi watu waishio kwenye miji tena si miji yote. Nimewahi kutumia Moderm ya TTCL ila usumbufu nilioupata wala sijui nilikoitupa. Ni aibu kuwa shirika la simu la Taifa!
 
Back
Top Bottom