Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dodoma mjini auWakuu niko dodoma, niko kwenye hotel inaitwa dodoma hotel,
Jengo la pemben yangu ni makao makuu ya ttcl,...
Network ya internet kwenye simu za mikononi haitegemei ofisi bali minara. Unaweza kuwa karibu na hiyo ofisi ikawa hafifu lakini ukienda mbali kabisa sehemu iliyo vijijini kama mnara uko karibu, ikawa nzuri. Bila shaka wao wana fiber connection na hawategemei wireless zinazotumika kwenye simu.
Lile tangazo lao la "rudi nyumbani kumenoga" wametumia kijamaa kimevalia suruali chini ya makalio utadhani kimejinyea!
Well saidNetwork ya internet kwenye simu za mikononi haitegemei ofisi bali minara. Unaweza kuwa karibu na hiyo ofisi ikawa hafifu lakini ukienda mbali kabisa sehemu iliyo vijijini kama mnara uko karibu, ikawa nzuri. Bila shaka wao wana fiber connection na hawategemei wireless zinazotumika kwenye simu.
Elezea tatizo lako ili upate ufumbuzi kuliko kutukana.Uzi wa kipumbaf sana huu.
Iweje wateja tujiulize na kujijibu sisi wenyewe kwa njia ya zogo wakati staff walioanzisha uzi hawatoi majibu, ushauri wala suluhisho lolote.
Ina maana walianzisha uzi huu kutusanifu na kutung'ong'a akili zetu siyo?
Kwa kuwa ni mali ya umma jaribu kuangalia na kulinganisha na mitandao mingine hali iko vp kwa sababu mitandao mingine Unapat hadi gb kwa 1000 wiki nzima, sasa na nyie angalieni hapo hasa kufanya gb 2 kwa 1000 wikiNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi...
Mkuu, mbona GB 1 kwa 1000 kipo.Kwa kuwa ni mali ya umma jaribu kuangalia na kulinganisha na mitandao mingine hali iko vp kwa sababu mitandao mingine Unapat hadi gb kwa 1000 wiki nzima, sasa na nyie angalieni hapo hasa kufanya gb 2 kwa 1000 wiki
Mbona TTCL wapo vizuri tuHiyo ndo bongo
Mfano mtu akijiunga kifurushi cha saa 24 there is no way anaweza kuangalia amebakiza mb ngapi or dk ngapi..menu yenu inajibu Key is empty..Kitambulisho cha chuo bado unacho?
Piga *148*30# kisha chagua namba 9Mfano mtu akijiunga kifurushi cha saa 24 there is no way anaweza kuangalia amebakiza mb ngapi or dk ngapi..menu yenu inajibu Key is empty..
Pole kwa tatizo. Naomba utume namba yako PM kwa msaada zaidi.Jamani TTCL hapa tabata kimanga, jirani na shule ya msingi kisukuru mtandao wenu unasunbua sana. Internet haipatikani kabisa. Ni muda mrefu hamtaki kutatua tatizo hili. Kulikoni TTCL Itabidi tuseme nyumbani HAKUNOGI
Pole kwa tatizo. Naomba utume namba yako PM kwa msaada zaidi.
Hello!TTCL Customer Care
Hi,
Sometime last year, my wife and self acquired two TTCL mobile SIM cards from one of your promotions official. Despite handing copies of our NIDA cards, both numbers ended up being registered under one name.
In wake of the TCRA's new regulations what can be done to rectify the matter? we both would like to retain your services.
Thanks.