TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Duh hapa ndo nilikua nishachefukwa na gharama kubwa za Internet ya Voda kuna mdada alikua ananishawish nihamie TTCL nyumbani kumenoga halafu nimepitia comment zote kwenye huu uzi mbona kama machale yananicheza
 
nina tatizo la kutopokea simu za kutoka vodacom, nimekwenda ofisi zenu kadhaa lakini hakuna majibu hata hapa jamvini nililalamika kwenye kitengo chenu hata sikujibiwa.

kwan mnalazimishwa kaanzisha nyuzi humu? ni kama hampo radhi hata kujibu tu baadhi ya comments, lkn mnakuja na mada mpya kila leo.
 
nina tatizo la kutopokea simu za kutoka vodacom, nimekwenda ofisi zenu kadhaa lakini hakuna majibu hata hapa jamvini nililalamika kwenye kitengo chenu hata sikujibiwa ,

kwan mnalazimishwa kaanzisha nyuzi humu? ni kama hampo radhi hata kujibu tu baadhi ya comments, lkn mnakuja na mada mpya kila leo
mkuu ili shirika limejaa wazee hawataki kujiongeza ndio mana wako dormant watu tuliwaamini sana ila wameamua kutuangusha wanafanya mambo kiserikali hawako aggressive kabisa
 
The only stable internet ni vodacom wakifuatiwa na halotel.

TTCL msitujaribu tusije kuwatamkia maneno mabaya hapa.

Huduma zenu hazifai. Wengine hatutaki hata kuwasikia na laini zenu tumeshatupa zaidi ya mara moja.
 
Nilishawahi kuleta uzi humu nikilalamikia huduma mbovu za TTCL....hata sijui nianzie wapi...lakini mifano michache niliweka laini ya TTCL kwenye WiFI Access link yenye 25GB nikiwa town kabisa DSM- maeneo ya Victoria...
Kwani Makonda anasemaje kuhusu hili?
 
Litafanyiwa kazi tu.
Kiongozi, ni kazi sana... hawa TTCL down time kwao siyo ishu kubwa yenye uziro wanaoupa makampuni binafsi. HIVI UNAJUWA KWANINI MAKAMPUNI BINAFSI YAMEHAMAMKUTULIA BACKBORNE SITES (MINARA) ZA TTCL..!?? Downtime... ukiritimba...
 
Mlitumwa kuleta post au mlijituma? Bosi wenu anatalifa kama mmeleta post hapa jukwaani?
 
Mbona app yenu haieleweki. Haina interface pia Kila nikiifungua inaniambia kuna tatizo LA kiufundi.

Mwambieni It wenu airekebishe mnaliiua shirika le2 pendwa.
 
Hyo slogan ya rudini nyumbani kumenoga inakera vibaya mno.

Kumenoga kwa kipi hasa....
 
TTCL nilikiwa nawatetea sana wako vzr kumbe utopolo mtupu kuna siku niko nabet live inplay kila nikiplace bet mtandao unalet useng.e na hapo miGB kibao ninayo hafu nilikuwa nakula kabisa tokea hapo line yake nimeifungia kwnye droo wajinga sana nyie.
Mbona wapo vizuri tu.
 
mkuu ili shirika limejaa wazee hawataki kujiongeza ndio mana wako dormant watu tuliwaamini sana ila wameamua kutuangusha wanafanya mambo kiserikali hawako aggressive kabisa
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Back
Top Bottom