chief_
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 830
- 1,395
Laini zingine unasetije mkuu? Nipasie nondoNaomba process ya kuseti APN kwa laini yenu.
Nikiseti kwa namna ninayoseti laini zingine inanigomea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laini zingine unasetije mkuu? Nipasie nondoNaomba process ya kuseti APN kwa laini yenu.
Nikiseti kwa namna ninayoseti laini zingine inanigomea.
Weee nae sikuelewi na piece zako kali, naona unalazimisha matumizi matumizi, aje mwenyewe ajibu.Mkuu matumizi hayawezi kuwa sawa...piece kali zinaongezeka lila siku
Vipi kuhusu VPN...?Name: TTCL
APN: internet
#RudiNyumbaniKumenoga
😂 😂 😂
Heri ya sikukuu ya Pasaka Piga *148*30# au*150*71# au *148*30*35# ufurahie vifurushi vya DATA, SMS, UNI na BANDO TAM TAM vilivyoboreshwa kama ilivyokuwa awali
Vifurushi vyote vimerejea tangu jana. Samahani kwa changamoto zilizotokea.
#RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1743058
Hawa hata wakiongeza data bila network coverage nzuri ni bure, shida wamesharidhika sijui! Wamekazana tu rudi nyumbani rudi nyumbani.Ttcl punguzeni zaidi data hiyo ni biashara ili mkiweza mteke soko hilo baadae mnatoa na promotion za kumwaga siku mkiongeza kidogo wananchi hawatapiga kelele na siku za sikukuu mnakua na promotion yenu ni kama hapa Telcom SA wanakimbiza mno wana data za mwezi za bei nzuri kwa hiyo mzunguko upo juu hao MTN na Voda wameweka mpaka watu wa kuzunguka mtaani ila hiyo telkom ni kiboko...
Anashinda insta alaf analalamikaWeee nae sikuelewi na piece zako kali, naona unalazimisha matumizi matumizi, aje mwenyewe ajibu.
Wao ndio kila kitu watengeneze network coverage iwepo ya kutosha Kama unavyosema Mkuu kwani hata wasipokuwa na matangazo yeyote wanaohitaji data na zilizo faster ni wengi hao telcom wanauza walikua Kama TTCL walipogundua kuna pesa nje nje wapo serious kweli... TTCL wapo halafu watu wanalipa pesa kupitia mitandao mingine kwa pesa ndefu sijui tatizo lao nini?wangeuza hata wifi za majumbani na ofisini kwa bei nafuu yaani ni tatizo sana hata hawajiongezi kabisaa...Hawa hata wakiongeza data bila network coverage nzuri ni bure, shida wamesharizika sijui! wamekazana tu rudi nyumbani rudi nyumbani.
Jaza wap.airtellive.co.tz kwa line ya mtandao wowote.Laini zingine unasetije mkuu? Nipasie nondo
Ngoja ni watag maana watasema comments nyingi TTCL Customer Care
Unaumwa minyoo wewe tunashindaga wote insta?Anashinda insta alaf analalamika
Wamejaza wazee tu, wao wanahangaika na bills tu za makampuni wanasahau wengi wa buku buku pia tupo [emoji19]Wao ndio kila kitu watengeneze network coverage iwepo ya kutosha Kama unavyosema Mkuu kwani hata wasipokua na matangazo yeyote wanaohitaji data na zilizo faster ni wengi hao telcom wanauza walikua Kama ttcl walipogundua kuna pesa nje nje wapo serious kweli...ttcl wapo harafu watu wanalipa pesa kupitia mitandao mingine kwa pesa ndefu sijui tatizo lao nini?wangeuza hata wifi za majumbani na ofisini kwa bei nafuu yaani ni tatizo sana hata hawajiongezi kabisaa...
[emoji16][emoji16][emoji16]rudi nyumbani kumenoga # tagShukrani kwa sahihisho lako.
#RudiNyumbaniKumenoga
Safi sana, ivi mnaweza nipatia namba ya huyu dada aliyefanya hili tangazo?Heri ya sikukuu ya Pasaka Piga *148*30# au*150*71# au *148*30*35# ufurahie vifurushi vya DATA, SMS, UNI na BANDO TAM TAM vilivyoboreshwa kama ilivyokuwa awali
Vifurushi vyote vimerejea tangu jana. Samahani kwa changamoto zilizotokea.
#RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1743058