TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Ttcl punguzeni zaidi data hiyo ni biashara ili mkiweza mteke soko hilo baadae mnatoa na promotion za kumwaga siku mkiongeza kidogo wananchi hawatapiga kelele na siku za sikukuu mnakua na promotion yenu ni kama hapa Telcom SA wanakimbiza mno wana data za mwezi za bei nzuri kwa hiyo mzunguko upo juu hao MTN na Voda wameweka mpaka watu wa kuzunguka mtaani ila hiyo telkom ni kiboko...
Hawa hata wakiongeza data bila network coverage nzuri ni bure, shida wamesharidhika sijui! Wamekazana tu rudi nyumbani rudi nyumbani.
 
Hawa hata wakiongeza data bila network coverage nzuri ni bure, shida wamesharizika sijui! wamekazana tu rudi nyumbani rudi nyumbani.
Wao ndio kila kitu watengeneze network coverage iwepo ya kutosha Kama unavyosema Mkuu kwani hata wasipokuwa na matangazo yeyote wanaohitaji data na zilizo faster ni wengi hao telcom wanauza walikua Kama TTCL walipogundua kuna pesa nje nje wapo serious kweli... TTCL wapo halafu watu wanalipa pesa kupitia mitandao mingine kwa pesa ndefu sijui tatizo lao nini?wangeuza hata wifi za majumbani na ofisini kwa bei nafuu yaani ni tatizo sana hata hawajiongezi kabisaa...
 
Laini zingine unasetije mkuu? Nipasie nondo
Jaza wap.airtellive.co.tz kwa line ya mtandao wowote.

Screenshot_2021-04-04-20-00-17-01.jpg
 
Ttcl ofisi zenu za mikoani wekeni wifi bure hapo na iwe ina speed ya kutosha hizo gharama za mabango mtaachana nazo fanyeni vitu kisasa mkifanikiwa mkoani nendeni mpaka wilayani..
 
Wao ndio kila kitu watengeneze network coverage iwepo ya kutosha Kama unavyosema Mkuu kwani hata wasipokua na matangazo yeyote wanaohitaji data na zilizo faster ni wengi hao telcom wanauza walikua Kama ttcl walipogundua kuna pesa nje nje wapo serious kweli...ttcl wapo harafu watu wanalipa pesa kupitia mitandao mingine kwa pesa ndefu sijui tatizo lao nini?wangeuza hata wifi za majumbani na ofisini kwa bei nafuu yaani ni tatizo sana hata hawajiongezi kabisaa...
Wamejaza wazee tu, wao wanahangaika na bills tu za makampuni wanasahau wengi wa buku buku pia tupo [emoji19]
 
Heri ya sikukuu ya Pasaka Piga *148*30# au*150*71# au *148*30*35# ufurahie vifurushi vya DATA, SMS, UNI na BANDO TAM TAM vilivyoboreshwa kama ilivyokuwa awali

Vifurushi vyote vimerejea tangu jana. Samahani kwa changamoto zilizotokea.

#RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1743058
Safi sana, ivi mnaweza nipatia namba ya huyu dada aliyefanya hili tangazo?
TTCL Customer Care
 
Back
Top Bottom