Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Kutafuta vucha za ttcl ni zaidi ya kutafuta mganga wa kienyeji. Nihatari utatembea ukome kuwa na line ya TTCL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna mapungufu kadhaa ( tena ya Kimsingi ) na yanayokera zaidi, ila kwa sasa GENTAMYCINE naendelea ' Kumsagia Kunguni ' Paul Makonda nikimalizana nae nahamia Kwenu na mtanikoma kwani Jumamosi iliyopita mmenikosesha Huduma Kipopoma ( Kipumbavu ) mno hadi nikamkosa Hewani Mwanamke niliyemuhangaikia Kumtongoza Mwezi mzima aliyeniahidi Kuniletea ' Mbunye ' yake mpaka hatimaye kasafiri zake kurejea kwa Mumewe Mzungu Ujerumani.
Hizi comments sijui TTCL wanajisikiaje...
Enzi za Makonda nyie watu aliwapiga vita sana. Sasa mpo huru mkidai haki za kibinadamuJomonii. Balozi Shishi wameachana nae? Mpaka wamchukue Nandi nahisi harufu ya Ubaguzi
Kuna jamaa hapo juu kaniambia kumbe ukiwapa idea wanaiuza kwa kampuni binafsi za mawasiliano.Inbox/PM kwao hupajui?
Hii kampuni ingeuzwa tu, hamna wanachokifanya kuna mkoa flani ni kama kampuni ya familia ukiingia ofisini wanaongea kikabila chao tu boss hadi anaefagia wote kabila moja.Unadhani wanaaibu hawa! Hata uyatukane vipi yapoyapo tu kama ugolo uliolowana
Kama vigari vya mnadani vileHawa jamaa hawako serious na kazi kabisa mishahara sijui wanaitoa wapi au kwasababu labda ni kodi za wananchi
Kuna gari yao canter inazunguka ya promotion ni aibu tupu canter mtu wa kawaida huwezi hata kuitumia kubebea mkaa
Wewe toa hoja ni kwanini waweke hizo payphones mitaani wakati kila mtu anasimu, tena simu hadi buku 10 unapata ya kichina, usianze kusema mataifa yaliyoendelea wakati unajua kabisa mazingira yao ni tofauti na yetu. Hivi leo mataifa yaliyoendelea yakihalalisha wanaume kufokolewa kinyesi na sisi tuhalalishe kisa walioendelea wanafokoana mavi?! Hivi hawa wazungu walizifanya nini akili zetu, mbona tuko hivi?!!!Mbona hamzirudishi zile public phone ambazo zamani tulikuwa tunazitumia kwa kununua kadi zenu zenye airtime!? Mnasubiri nini!? Mnangoja nini, au ndo mtakuja na kile suala la kusema siku hizi kila mtu ana simu hivyo hamna haja mnasahau hata Mataifa yaliyoendelea kama Uingereza na Marekani bado zipo na zote zinafanya kazi. Siku hizi zimebaki chache sana tena ni baadhi ya sehemu tu.
Mpo serious kweli [emoji2375]
Tuko poaaa... [emoji23]Wateja wenu 350K hawajambo.?
Halafu kama vifurushi vinaisha haraka sana kuliko mitandao mengineTTCL nyie ni machizi fresh net kama kinyonga vile ukiuliza salio la kifurushi unajibiwa baada ya masaa mawili, kifurushi kikiisha hammtarifu mteja wenu nyie ni chenga kama za ulezi vile