TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Msg lazima utume mara mbili mbili, tatizo ni nini? Maana unaweza ukatuma ukadhani umemaliza baadaye ukija kuangalia unaambiwa msg not sent, mtandao wenu chenga sometimes. Ila bado huduma zenu ni nafuu zaidi.
 
Tatizo lingine, kulipia muda wa hewani kupitia NMB ni changamoto. Take note please
 
Mna mapungufu kadhaa ( tena ya Kimsingi ) na yanayokera zaidi, ila kwa sasa GENTAMYCINE naendelea ' Kumsagia Kunguni ' Paul Makonda nikimalizana nae nahamia Kwenu na mtanikoma kwani Jumamosi iliyopita mmenikosesha Huduma Kipopoma ( Kipumbavu ) mno hadi nikamkosa Hewani Mwanamke niliyemuhangaikia Kumtongoza Mwezi mzima aliyeniahidi Kuniletea ' Mbunye ' yake mpaka hatimaye kasafiri zake kurejea kwa Mumewe Mzungu Ujerumani.

Malalamiko haya ni makubwa sana mtu umehangaikia mbususu muda mrefu wao ttcl wanazingua, na sio hilo tu wameshaniharibia mipango mingi sana kama hii acha tu
 
TTCL mjitathimini na mjirekebishe, kwa comment za wadau malalamiko ni mengi
 
Bando yenu inaisha haraka sana siku hizi.. Na ukijiunga hupati sms kwamba umefanikiwa kujiunga huduma fulani ya kifurushi. Unashangaa tu umeperuzi siku tano mara unapokea sms umetumia asilimia 75 ya kifurushi chako!

Mjirekebishe. Haswa swala la ulaji wa bando. Matumizi ni yale Yale ya siku zote ila bando linakwisha mapema.. Nini shida?
 
Hawa jamaa hawako serious na kazi kabisa mishahara sijui wanaitoa wapi au kwasababu labda ni kodi za wananchi
Kuna gari yao canter inazunguka ya promotion ni aibu tupu canter mtu wa kawaida huwezi hata kuitumia kubebea mkaa
 
Mbona hamzirudishi zile public phone ambazo zamani tulikuwa tunazitumia kwa kununua kadi zenu zenye airtime!? Mnasubiri nini!? Mnangoja nini, au ndo mtakuja na kile suala la kusema siku hizi kila mtu ana simu hivyo hamna haja mnasahau hata Mataifa yaliyoendelea kama Uingereza na Marekani bado zipo na zote zinafanya kazi. Siku hizi zimebaki chache sana tena ni baadhi ya sehemu tu.
Mpo serious kweli [emoji2375]
 
Hivi kinachofanya TTCL isiwe na ushawishi kama mitandao mingine binafsi ni nini hasa?
 
Mbona hamzirudishi zile public phone ambazo zamani tulikuwa tunazitumia kwa kununua kadi zenu zenye airtime!? Mnasubiri nini!? Mnangoja nini, au ndo mtakuja na kile suala la kusema siku hizi kila mtu ana simu hivyo hamna haja mnasahau hata Mataifa yaliyoendelea kama Uingereza na Marekani bado zipo na zote zinafanya kazi. Siku hizi zimebaki chache sana tena ni baadhi ya sehemu tu.
Mpo serious kweli [emoji2375]
Wewe toa hoja ni kwanini waweke hizo payphones mitaani wakati kila mtu anasimu, tena simu hadi buku 10 unapata ya kichina, usianze kusema mataifa yaliyoendelea wakati unajua kabisa mazingira yao ni tofauti na yetu. Hivi leo mataifa yaliyoendelea yakihalalisha wanaume kufokolewa kinyesi na sisi tuhalalishe kisa walioendelea wanafokoana mavi?! Hivi hawa wazungu walizifanya nini akili zetu, mbona tuko hivi?!!!
 
TTCL nyie ni machizi fresh net kama kinyonga vile ukiuliza salio la kifurushi unajibiwa baada ya masaa mawili, kifurushi kikiisha hammtarifu mteja wenu nyie ni chenga kama za ulezi vile
Halafu kama vifurushi vinaisha haraka sana kuliko mitandao mengine
 
TTCL iuzwe hao walioajiriwa warudi vijijini wakalime kampuni imekaa kaa tu haina ufanisi kila huduma yao mbovu yaani bado wanaishi zama za mawe za kale, naona waanze kua mapromota wa muziki huko labda wataweza lakini kwa kutoa huduma za mawasiliano mnakera mnakera mnaudhi Yaani ninavowatazama hamna vision na biashara hii
 
Back
Top Bottom