Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na utasemaKwanini umeme ukikatika mnakata na nyie network yenu baada ya muda ndo inarudi?! Pia umeme ukirudi mnachelewa kurejesha mtandao!??
Wanazingua sana!!!na utasema
Wameshajifia kitamboWanazingua sana!!!
🤣🤣🤣 jf yenyewe wameamua kuikimbia, hili ni shirika hewaHivi TTCL, kwa nini kila tukienda kuomba kufungiwa Fiber nyumbani tunaambiwa mtaa uliopo umejaa hadi waje kufunga control box nyingine. Ina maana hakuna initiative zozote maana mnapoteza wateja
Na utasema🤣
🤣🤣🤣 jf yenyewe wameamua kuikimbia, hili ni shirika hewa
Nawafahamu sana hawa, wazee tutafikisha hudumaNa utasema
Bado hujasema😁Nawafahamu sana hawa, wazee tutafikisha huduma
Hata bufee yenyewe siku hizi wameiharibu, sio kama mwanzoHuu mtandao umejifia. Mimi natumia kwa sababu ya bufee tu.
Yaani huu mtandao kwisha habari. Niliendaga kurenew laini ofisi zao za UDSM eti hawana hiyo huduma na hata laini hawakuwa nazo, wakanielekeza niende Magomeni.Hata bufee yenyewe siku hizi wameiharibu, sio kama mwanzo
hakuna shirika hapaYaani huu mtandao kwisha habari. Niliendaga kurenew laini ofisi zao za UDSM eti hawana hiyo huduma na hata laini hawakuwa nazo, wakanielekeza niende Magomeni.
Bado hujasema😄Yaani huu mtandao kwisha habari. Niliendaga kurenew laini ofisi zao za UDSM eti hawana hiyo huduma na hata laini hawakuwa nazo, wakanielekeza niende Magomeni.
Huku jf washapotea,TTCL naomba kujua kuna shida gani kwenye fibre network? Maana siku hizi mtandao unakuja dakika 5 halafu network inapotea ghafla.
Inabidi uzime kingamuzi kama dk2 mpaka 5 ndio irudi halafu inapotea tena internet mda mfupi baada ya hapo
Unajaribu kupiga simu customer care unapewa mpaka namba ya tatizo lakini naona kama hili tatizo linakuwa sugu.
Hii shida ya internet kukata hovyo bila mpangilio shida huwa ni nini? Maana naona hata kuwapigia simu sasa inakuwa kero kwangu.
Atleast mgekuwa mnatoa taarifa kwa wateja kuwajulisha kama kuna tatizo kwenye mifumo yenu ili tuweze kuchukua tahadhari mapema
wengine tunachukizwa na huduma mbovu na tunachoka kuongea na kurudia kitu kile kile kila mara.
Asante.
Yaan mpaka usemeNawafahamu sana hawa, wazee tutafikisha huduma
Hili tatizo sio kwako tuntarehe 22 Machi 2024 mkongo ulipata tatizo sio Tanzania nzima tu, ni mpaka kwenye nchi za wanaotumia mkongo huu yaani Uganda, Burundi, DRC, Rwanda mpaka wabunge wa Uganda wakaja Dar kuwauliza TTCL nini shida?TTCL naomba kujua kuna shida gani kwenye fibre network? Maana siku hizi mtandao unakuja dakika 5 halafu network inapotea ghafla.
Inabidi uzime kingamuzi kama dk2 mpaka 5 ndio irudi halafu inapotea tena internet mda mfupi baada ya hapo
Unajaribu kupiga simu customer care unapewa mpaka namba ya tatizo lakini naona kama hili tatizo linakuwa sugu.
Hii shida ya internet kukata hovyo bila mpangilio shida huwa ni nini? Maana naona hata kuwapigia simu sasa inakuwa kero kwangu.
Atleast mgekuwa mnatoa taarifa kwa wateja kuwajulisha kama kuna tatizo kwenye mifumo yenu ili tuweze kuchukua tahadhari mapema
wengine tunachukizwa na huduma mbovu na tunachoka kuongea na kurudia kitu kile kile kila mara.
Asante.
wapo kama wote, mtandao si unatumiwa na wazeeBado kna watu Mna nunua Vocha???