TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Jina langu limekosewa spelling kwenye T pesa nawezaje kuliweka sawa
 
Yaani huu mtandao kwisha habari. Niliendaga kurenew laini ofisi zao za UDSM eti hawana hiyo huduma na hata laini hawakuwa nazo, wakanielekeza niende Magomeni.
hakuna shirika hapa
 
TTCL naomba kujua kuna shida gani kwenye fibre network? Maana siku hizi mtandao unakuja dakika 5 halafu network inapotea ghafla.

Inabidi uzime kingamuzi kama dk2 mpaka 5 ndio irudi halafu inapotea tena internet mda mfupi baada ya hapo

Unajaribu kupiga simu customer care unapewa mpaka namba ya tatizo lakini naona kama hili tatizo linakuwa sugu.

Hii shida ya internet kukata hovyo bila mpangilio shida huwa ni nini? Maana naona hata kuwapigia simu sasa inakuwa kero kwangu.

Atleast mgekuwa mnatoa taarifa kwa wateja kuwajulisha kama kuna tatizo kwenye mifumo yenu ili tuweze kuchukua tahadhari mapema

wengine tunachukizwa na huduma mbovu na tunachoka kuongea na kurudia kitu kile kile kila mara.

Asante.
 
Huku jf washapotea,
 
Hili tatizo sio kwako tuntarehe 22 Machi 2024 mkongo ulipata tatizo sio Tanzania nzima tu, ni mpaka kwenye nchi za wanaotumia mkongo huu yaani Uganda, Burundi, DRC, Rwanda mpaka wabunge wa Uganda wakaja Dar kuwauliza TTCL nini shida?
 
Back
Top Bottom