Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Huyo ni wewe, Jumlisha Wife, watoto na member wengine wa familia. Kama umepanga jumlisha na wapangaji wenzako Jengo moja.Daaa; sijawahi kuzidisha 30k kwa mwezi; labda sema nini, nikiwa kazini natumia internet ya mwajiri
Sema unaoshare wawe interested like you. Vinginevyo mzigo wanaweza kukuachia na maneno mengi.Huyo ni wewe, Jumlisha Wife, watoto na member wengine wa familia. Kama umepanga jumlisha na wapangaji wenzako Jengo moja.
Fiber most of time hutumika na mtu zaidi ya mmoja, kama unatumia 30k kwa mwezi inaweza pungua ikawa 10k na ku invest hio 20k kwenye fiber, then na member wengine wawili ama watatu wakafanya hivyo mnavuta fiber mnashare.
Boss inachukua muda gani surveyor kuja kucheki eneo. TTCL FIBERHuyo ni wewe, Jumlisha Wife, watoto na member wengine wa familia. Kama umepanga jumlisha na wapangaji wenzako Jengo moja.
Fiber most of time hutumika na mtu zaidi ya mmoja, kama unatumia 30k kwa mwezi inaweza pungua ikawa 10k na ku invest hio 20k kwenye fiber, then na member wengine wawili ama watatu wakafanya hivyo mnavuta fiber mnashare.
Fiber mimi wamenitisha mkuu, sikwenda Tena, Jamaa alisema Kwa Mjini installation inaweza cost laki kadhaa. Kwangu haikuwa na Value.Boss inachukua muda gani surveyor kuja kucheki eneo. TTCL FIBER
Ahsante sanaFiber mimi wamenitisha mkuu, sikwenda Tena, Jamaa alisema Kwa Mjini installation inaweza cost laki kadhaa. Kwangu haikuwa na Value.
Ila aliniambia kuna baadhi ya Maeneo kama kijitonyama wanafanya kama Zuku Free installation.
Kuhusu survey mkuu chukua namba, ukiwa na namba ya jamaa wa survey ni faster tu.
Alafu uliyonayo ni ipi? Ni fiber au? Maana ulisema una ya TTCL, imekuanje installation tena hapa mjini.Fiber mimi wamenitisha mkuu, sikwenda Tena, Jamaa alisema Kwa Mjini installation inaweza cost laki kadhaa. Kwangu haikuwa na Value.
Ila aliniambia kuna baadhi ya Maeneo kama kijitonyama wanafanya kama Zuku Free installation.
Kuhusu survey mkuu chukua namba, ukiwa na namba ya jamaa wa survey ni faster tu.
Mi niliweka Adsl ya 25,000 mkuu, Fiber ninayo ya Zuku.Alafu uliyonayo ni ipi? Ni fiber au? Maana ulisema una ya TTCL, imekuanje installation tena hapa mjini.
Why haina Value?
Shukuran boss, why uwe na ADSL na fiber at the same time, au moja nyumbani nyingine Kariakoo?Mi niliweka Adsl ya 25,000 mkuu, Fiber ninayo ya Zuku.
Mimi nina namba ya jamaa anaefanya survey mitaa ya kwetu unawasiliana nae anatafuta mda anakuja.
Sidhani mkuu, naweza Kupa Contact umjaribu ama yeye anaweza kupa lead.Nipo ubungo hawezi kuja?
Ndio mkuu sehemu mbili tofauti.Shukuran boss, why uwe na ADSL na fiber at the same time, au moja nyumbani nyingine Kariakoo?
Ameniambia Hata huko anaweza kuja Kufanya Survey.Naomba, PM ipo wazi
Home fiber, coverage yao ipo wapi?Me natumia Home Fiber Cable toka 2019 haijawahi kupanda wala kushuka ni 69k kwa mwezi,
Iliwahi kusumbua mara moja tu toka waifunge hapa na haijawahi kusumbua tena kwa miaka hiyo karibu mitatu sasa
Na inatumika karibu masaa12 kila siku na zaidi ya watu kumi wote wanakuwa connect, kifupi kwa hapa Tanzania sidhani kama kuna mtandao ambao naweza kuulinganisha na hawa jamaa