TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

fact
 

Hii mbps ngapi unapata mkuu ??
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
 
Hicho kibox hapo mbele ni nini? Bila hicho kibox inafanya kazi?
Hiyo ndio Laser TV chief, hiyo picha hapo mbele inatoka kwenye hicho kibox

Pcha ya mbele hilo ni Board unapewa lipo kama ubao,ukilipga hata na chupa linatoa

Mlio wa Mbao tu,ni liboard Pure ila wamelisoften likawekwa kama TV ambapo ukinunua

wanakupa hilo, lina ukubwa wa 100inch, kama ukinunua la 120inch wanakupa board la 120inch

Mkiliwasha mgeni akija hawezi gundua kitu atahisi ni TV,labda mtu makini mchunguzi kama "ulivyo"

ndio umeweza shtuka kuuliza kuhusu hicho kibox,ila ni Bora sana kuliko hata TV ukija kuona nilipoweka

hicho kibox hakionekani na wala hamna anaejua ni Laser TV wateja wote hujua ni TV, nimeweka kwenye

Banda la Mpira Hiyo ni Maalum kwa WORLD CUP this year, World Cup ikianza tu naipeleka OFISINI

saivi nipo nayo home naionja onja utamu wake,ki ukweli natamani kama nighairi ipeleka Ofisini maaana Daah
 
Voda hasambazi Fiber
 
Ya mkuu ye s serikali kabsa Sasa Voda au Airtel akitaka inabd alipie ghalama ila ttcl na tanesco ni kupunguziana koz wote ni native companies
Hizo kampuni zingine haziwezi sambaza Fiber to Home, wao sana sana watasambaza Antena za mawasiliano
 
Hata haya makampuni yangeendelea weka data prices chini, wangepata watu wengi zaidi. Tatizo sijajua nini kimetokea, bei inapandishwa kila mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…