TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Speed ina panda na kushuka package yangu ni ya 10Mbps ila kuna wakati niunga mashine nyingi,wireless nikatoa password kwa watu wengi inashuka kiasi ila bado sina haraka hamna ninachokosa mtandaoni.

Mwisho ni kwamba Torrent zina speed tofaut kutegemea na movie umeitoa site gani seeders,nk kuna mambo mengi yanayofanya speed kupanda au kushuka kutegemea na file unaloshusha.
fact
 
Laser tv si projector?
Ni laser Mkuu ipo Kama hii,niliiona Mcity ilikua na offer lkn naona ss offer imeisha imerudi Bei yake ya awali 16m
IMG_20220731_073224.jpg
 
-Konnect 20 - unlimited with 20/3 Mbps = 60,000 Tsh
(First step => beyond 10Gb data used, the speed will be 3Mbps
Second step =>beyond 15Gb data used, the speed will be 1Mbps)

-Konnect 30 - unlimited with 30/3 Mbps = 110,000 Tsh
(First step => beyond 30Gb data used, the speed will be 5Mbps
Second step =>beyond 45Gb data used, the speed will be 1Mbps)

-Konnect 50 - unlimited with 50/3 Mbps = 175,000 Tsh
(First step => beyond 60Gb data used, the speed will be 10Mbps
Second step =>beyond 90Gb data used, the speed will be 2Mbps)

-Konnect 75 - unlimited with 75/3 Mbps = 225,000 Tsh
(First step => beyond 100Gb data used, the speed will be 15Mbps
Second step =>beyond 150Gb data used, the speed will be 3Mbps)

-Konnect 100 - unlimited with 100/3 Mbps = 395,000 Tsh
(First step => beyond 200Gb data used, the speed will be 20Mbps
Second step =>beyond 300Gb data used, the speed will be 3Mbps)
[emoji732][emoji732][emoji732][emoji732][emoji732][emoji56]the kit cost $699 at dar es salaam[emoji732][emoji732][emoji732][emoji732]
Screenshot_20220730-190715_Firefox.jpg

Hii mbps ngapi unapata mkuu ??
Screenshot_20220730-190715_Firefox.jpg
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
742944647.jpg
935761244.jpg
1168588273.jpg
 
Hicho kibox hapo mbele ni nini? Bila hicho kibox inafanya kazi?
Hiyo ndio Laser TV chief, hiyo picha hapo mbele inatoka kwenye hicho kibox

Pcha ya mbele hilo ni Board unapewa lipo kama ubao,ukilipga hata na chupa linatoa

Mlio wa Mbao tu,ni liboard Pure ila wamelisoften likawekwa kama TV ambapo ukinunua

wanakupa hilo, lina ukubwa wa 100inch, kama ukinunua la 120inch wanakupa board la 120inch

Mkiliwasha mgeni akija hawezi gundua kitu atahisi ni TV,labda mtu makini mchunguzi kama "ulivyo"

ndio umeweza shtuka kuuliza kuhusu hicho kibox,ila ni Bora sana kuliko hata TV ukija kuona nilipoweka

hicho kibox hakionekani na wala hamna anaejua ni Laser TV wateja wote hujua ni TV, nimeweka kwenye

Banda la Mpira Hiyo ni Maalum kwa WORLD CUP this year, World Cup ikianza tu naipeleka OFISINI

saivi nipo nayo home naionja onja utamu wake,ki ukweli natamani kama nighairi ipeleka Ofisini maaana Daah
 
Voda ana fiber ila Iko limited to buildings koz ye anapita chini ya ardhi yupo mliman,sky city mall, tanzanite tower,derm plaza,clock tower ayo ni kdg nayokumbuka kua ana fiber home ila ttcl fibre zake anapita chn then anatoa anapitisha fiber cable wire juu ya nguzo za umeme ndo utofauti wao
Voda hasambazi Fiber
 
Ya mkuu ye s serikali kabsa Sasa Voda au Airtel akitaka inabd alipie ghalama ila ttcl na tanesco ni kupunguziana koz wote ni native companies
Hizo kampuni zingine haziwezi sambaza Fiber to Home, wao sana sana watasambaza Antena za mawasiliano
 
Watakuwa wapuuzi wa karne maana biashara sikuhizi iko kwenye internet wala sio Voice ama Sms. Sahizi almost kila mtu wa mjini ana uFahamu juu ya mtandao na matumizi yake hali iliopelekea demand curve ya internet kupaa sana against calls na sms.

Voip iko kwenye application zaidi.
Hata haya makampuni yangeendelea weka data prices chini, wangepata watu wengi zaidi. Tatizo sijajua nini kimetokea, bei inapandishwa kila mwezi
 
Back
Top Bottom