Min ni mwaka boss wangNaelewa kaka mambo ya Voda. Ila price ndio changamoto. Hapa naitaka lakini kwa muda mfupi niko nawaza nisije nikavuta halafu nikakaa nayo miezi minne nikasitisha huduma nikaambia security fee yangu hairudi haidi nimalizie muda wa mkataba.
Min ni mwaka boss wang
Yes exactly Wala hakuna shda boss wang unalipia ata six months advance afu unatuliaNa naweza nikalipa in advance labda miezi miwili au mitatu mbele!?
Ila hii nzur, this time ngoja nilipe hata miez minne.Yes exactly Wala hakuna shda boss wang unalipia ata six months advance afu unatulia
kama tunalaumu serikali na sisi pia tutake responsibilities, Nguzo za simu zilienea nchi nzima, tumeiba waya zote, watu wanatoa shaba za ndani wanauza kama scraper, maeneo ambayo waya zimebakia sasa hivi wanapata internet kwa 25,000.Yaani nchi za Africa bado sana yaani kwa ulimwengu wa sasa internet ni basic need.
Ubunifu unazimwa na vitu vingu sana nawashauri vijana wakipata fursa kutimkia majuu wasipepese macho nchi nyingi za Africa viongozi hawajielewi ndio chanzo kikubwa , unatarajia mtu class 7 dropout akutungie sheria nzuri za kukutetea na kuhakikisha internet inakuwepo mjengoni 24/7.
Lakini serikali ndio walikuwa na jukumu la kuboresha miundombinu hadi ukiona watu wanapora nyaya ujue huduma husika haikuwepo.kama tunalaumu serikali na sisi pia tutake responsibilities, Nguzo za simu zilienea nchi nzima, tumeiba waya zote, watu wanatoa shaba za ndani wanauza kama scraper, maeneo ambayo waya zimebakia sasa hivi wanapata internet kwa 25,000.
Mkuu nipe ufafanuzi kidogo kuhusu hii kitu, inakua unlimited au VIP ? Na speed yake ikoje ? Na nianzie wap ili niipate Hiyo hudumakama tunalaumu serikali na sisi pia tutake responsibilities, Nguzo za simu zilienea nchi nzima, tumeiba waya zote, watu wanatoa shaba za ndani wanauza kama scraper, maeneo ambayo waya zimebakia sasa hivi wanapata internet kwa 25,000.
Adsl internet ipo toka miaka ya 90, haijawahi kutokuwepo, kipindi hiko tu watu hawakuwa na muamko.Lakini serikali ndio walikuwa na jukumu la kuboresha miundombinu hadi ukiona watu wanapora nyaya ujue huduma husika haikuwepo.
Hakuna excuse ya wizi wa miundombinu.Lakini serikali ndio walikuwa na jukumu la kuboresha miundombinu hadi ukiona watu wanapora nyaya ujue huduma husika haikuwepo.
Ni unlimited, speed inategemea na unachonunua.Mkuu nipe ufafanuzi kidogo kuhusu hii kitu, inakua unlimited au VIP ? Na speed yake ikoje ? Na nianzie wap ili niipate Hiyo huduma
Hawakutaka tu kuunda mkakati madhubuti kudili na aina hii ya tatizokama tunalaumu serikali na sisi pia tutake responsibilities, Nguzo za simu zilienea nchi nzima, tumeiba waya zote, watu wanatoa shaba za ndani wanauza kama scraper, maeneo ambayo waya zimebakia sasa hivi wanapata internet kwa 25,000.
Lakini serikali ndio walikuwa na jukumu la kuboresha miundombinu hadi ukiona watu wanapora nyaya ujue huduma husika haikuwepo.
Hii inapatikana maeneo gani?VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI
PRICE PER MONTH
[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G
For more information kindly check me DM or call 0744355811
It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antennaView attachment 2375309
Zamani nguzo za umeme na simu zilikuwa separate, za umeme zilikuwa nene na za simu zilikuwa nyembamba.Hawakutaka tu kuunda mkakati madhubuti kudili na aina hii ya tatizo
Mbona saizi cable za fibre wanazipitisha kwenye nguzo za umeme, nani atayepanda kwenye nguzo za umeme ku risk maisha yake kutoa waya endapo wangeamua kupitisha kwenye nguzo za umeme?
Kweli nimekumbuka kuna vipanga walikuwa wanaiba mafuta ya transfomaZamani nguzo za umeme na simu zilikuwa separate, za umeme zilikuwa nene na za simu zilikuwa nyembamba.
Kinachofanya watu wasiibe Fiber sasa hivi ni kwamba hawana pa kwenda kuziuza mkuu, Fiber inapitisha data kwa mwanga, haina vitu kama Alluminium ama Shaba kama waya Zingine, hivyo Mateja na wahuni wengine kwao hazina thamani.
Atokee mtu ananunua hizo waya nazo ujue hazitakua salama, nguzo za umeme si kigezo maana nazo kuna vishoka kibao, zinachezewa kila siku.
4mbps halafu tena katika hiyo hiyo 4mbps unapewa 500kbps, mbona kama sijawaelewa?Ni unlimited, speed inategemea na unachonunua.
25000 ni 4mbps (500KB/s)
50,000 ni 8mbps (1MB/s)
55,000 ni 20mbps (2.5MB/s)
Sema hicho cha 55,000 ni maneno yenye fiber na cha 25k na 50k ni adsl. Kama kwenu kuna zile nguzo za simu na waya zipo utapata.
Kupata unaenda ofisi za TTCL.
Dar nzima na mikoani waeza pata pia