TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Naelewa kaka mambo ya Voda. Ila price ndio changamoto. Hapa naitaka lakini kwa muda mfupi niko nawaza nisije nikavuta halafu nikakaa nayo miezi minne nikasitisha huduma nikaambia security fee yangu hairudi haidi nimalizie muda wa mkataba.
Min ni mwaka boss wang
 
VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antenna
552770913.jpg
 
Yaani nchi za Africa bado sana yaani kwa ulimwengu wa sasa internet ni basic need.

Ubunifu unazimwa na vitu vingu sana nawashauri vijana wakipata fursa kutimkia majuu wasipepese macho nchi nyingi za Africa viongozi hawajielewi ndio chanzo kikubwa , unatarajia mtu class 7 dropout akutungie sheria nzuri za kukutetea na kuhakikisha internet inakuwepo mjengoni 24/7.
 
kama tunalaumu serikali na sisi pia tutake responsibilities, Nguzo za simu zilienea nchi nzima, tumeiba waya zote, watu wanatoa shaba za ndani wanauza kama scraper, maeneo ambayo waya zimebakia sasa hivi wanapata internet kwa 25,000.
 
Lakini serikali ndio walikuwa na jukumu la kuboresha miundombinu hadi ukiona watu wanapora nyaya ujue huduma husika haikuwepo.
 
Mkuu nipe ufafanuzi kidogo kuhusu hii kitu, inakua unlimited au VIP ? Na speed yake ikoje ? Na nianzie wap ili niipate Hiyo huduma
 
Ni unlimited, speed inategemea na unachonunua.

25000 ni 4mbps (500KB/s)
50,000 ni 8mbps (1MB/s)
55,000 ni 20mbps (2.5MB/s)

Sema hicho cha 55,000 ni maneno yenye fiber na cha 25k na 50k ni adsl. Kama kwenu kuna zile nguzo za simu na waya zipo utapata.

Kupata unaenda ofisi za TTCL.
 
kama tunalaumu serikali na sisi pia tutake responsibilities, Nguzo za simu zilienea nchi nzima, tumeiba waya zote, watu wanatoa shaba za ndani wanauza kama scraper, maeneo ambayo waya zimebakia sasa hivi wanapata internet kwa 25,000.
Hawakutaka tu kuunda mkakati madhubuti kudili na aina hii ya tatizo

Mbona saizi cable za fibre wanazipitisha kwenye nguzo za umeme, nani atayepanda kwenye nguzo za umeme ku risk maisha yake kutoa waya endapo wangeamua kupitisha kwenye nguzo za umeme?
 
Lakini serikali ndio walikuwa na jukumu la kuboresha miundombinu hadi ukiona watu wanapora nyaya ujue huduma husika haikuwepo.

I agree with this. Kwa sababu kama watu wanaotumia hii huduma kupitia hizo cable ni wengi, watu wangekasirika kutokana na usumbufu unaojitokeza mara kwa mara hivyo wangezilinda ila kama watu wengi hawafaidiki na hizo cable hawawezi kujali nini kinaendelea dhidi ya hizo cable.

Vaa uhalisia, cable inayokuletea net kwako unamuona mtu njiani anatemper nayo utamuacha? Au hautajihusisha kabisa hata kuwaarifu wahusika kuhusu kinachondelea eneo hilo muda huo.
 
VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antennaView attachment 2375309
Hii inapatikana maeneo gani?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hawakutaka tu kuunda mkakati madhubuti kudili na aina hii ya tatizo

Mbona saizi cable za fibre wanazipitisha kwenye nguzo za umeme, nani atayepanda kwenye nguzo za umeme ku risk maisha yake kutoa waya endapo wangeamua kupitisha kwenye nguzo za umeme?
Zamani nguzo za umeme na simu zilikuwa separate, za umeme zilikuwa nene na za simu zilikuwa nyembamba.

Kinachofanya watu wasiibe Fiber sasa hivi ni kwamba hawana pa kwenda kuziuza mkuu, Fiber inapitisha data kwa mwanga, haina vitu kama Alluminium ama Shaba kama waya Zingine, hivyo Mateja na wahuni wengine kwao hazina thamani.

Atokee mtu ananunua hizo waya nazo ujue hazitakua salama, nguzo za umeme si kigezo maana nazo kuna vishoka kibao, zinachezewa kila siku.
 
Kweli nimekumbuka kuna vipanga walikuwa wanaiba mafuta ya transfoma
 
Ni unlimited, speed inategemea na unachonunua.

25000 ni 4mbps (500KB/s)
50,000 ni 8mbps (1MB/s)
55,000 ni 20mbps (2.5MB/s)

Sema hicho cha 55,000 ni maneno yenye fiber na cha 25k na 50k ni adsl. Kama kwenu kuna zile nguzo za simu na waya zipo utapata.

Kupata unaenda ofisi za TTCL.
4mbps halafu tena katika hiyo hiyo 4mbps unapewa 500kbps, mbona kama sijawaelewa?
 
Back
Top Bottom