Nyinyi mnafanyaje fanyaje speed inakua ivyo? Mimi kwangu ipo ivi, ni 2MB ikizidi ni 7MB kufika 10MB ni mara chache sana
View attachment 2609408
240k ni security fee ya mkataba yaani ukilipia iyo ni kwaajiri ya miezi miwili ya mwisho wa mkataba kati ya miezi 12. Baada ya apo unalipia kila mwisho wa mwezi 120k ila ikifika miezi ya mwisho miwili hautolipia tena sababu ulishalipa kwenye security fee.240k ndio malipo ya kila mwezi au ni initial investment tu? Fafanua hapo
Unamaanisha ukiweka line ya Tigo kwenye router yao ina function hama? Maana nimezani unatumia vodacom supakasiMkuu hapo nilikuwa nimetumia Tigo.
Siku hizi naona Voda inachangamoto kwenye speed huku kwangu ikipanda sana ni 13mbps muda wa mchana usiku kuanzia saa saba ndio inafika 18mbps.
Unamaanisha ukiweka line ya Tigo kwenye router yao ina function hama? Maana nimezani unatumia vodacom supakasi
Chief-Mkwawa hizi ndo zinaenda mpaka kwenye mnara wa ttcl?Itakuepo ila sijajua wapi na wapi.
Tembelea ofisi zao ama toka nje Angalia nguzo za umeme ama za simu, ukiona zile waya za kizamani ambazo zipo mbili kwa pamoja basi ipo
Nguzo za simu mkuu, ile minara mirefu ya simu ni tech nyengine.Chief-Mkwawa hizi ndo zinaenda mpaka kwenye mnara wa ttcl?
Mkuu huduma ziko vizur japo wafanyakazi wananyodo sana mimi nimetuma huduma ya kupandishiwa 5G Huyu mtoa huduma wangu anajisikia sana ila kuhusu speed wako vizuri sana View attachment 2610302
Hii nimepima muda huu na hapo nimeconnect divice
View attachment 2610314
Na device zote zinachapa kazi
Hii data plan ni 30mbps au 50mbps?
Weka kwenye simu unga hotspot. Ndio utaenjoy speedMrejesho kwa changamoto yangu... Leo imeishia wiki ya 3 sasa Vodacom Supakasi ndo wameniletea Router yao.
Kwanza kabisa nililipia 5g kwa shilingi 240,000/= badala yake kufungua mzigo kumbe wameniletea wa 4g (nimeshapeleka malalamiko sijui itachukua siku ngapi kunijibu kama tu kuleta huduma wame delay siku 18)
Hawa wajinga nime wa-mind sana afu hata iyo 4g yao ipo slow inapanda na kushuka kwanye ku download ipo around 2MB to 5KB per second na sometimes hakuna network kabisa. Speed ni nzuri ila kwa kazi niliotaka kufanyia kama mteja nilietegemea walau 10Mb/s au 5Mb/s wameniangusha sana.
Nilicho jifunza kuusu delay ni hawa ma agent sio waaminifu nilichogundua wanasubilisha order yako ili tu wafanye timing ya kamishen yao hawana lolote wanasingizia vifaa havipo kama vile wao ni tanesco wakati watu tunatoa hera nyingi. Kwa ufupi huduma ya Vodacom supakasi ni ovyo tofauti na hera unayolipia [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Hapa unamaanisha nini maana router wanaleta wenyewe sijui kama zina support hiyo wifiIli upate speed nzur kwa ttcl tumia wifi 5 kama simu yako au device yako inaruhusu.
View attachment 2608818
Fastmile kama una package ya 5G inakubali hadi wifi 6.Hapa unamaanisha nini maana router wanaleta wenyewe sijui kama zina support hiyo wifi
Zina support na router zao ziko vizur tu.Hapa unamaanisha nini maana router wanaleta wenyewe sijui kama zina support hiyo wifi
Router gani unatumia? Pia angalia ping kwenye speedtest.ivi wakuu kwa anayetumia package ya 5G vodacom supakasi ya 120,000/=unajuaje kama kwl umeletewa 5G na sio 4G ya 115,000/= ukiachana na kupima speed kama inafika 30Mbps?
Tatizo mkuu Nimeagizia kwa mtu wa kati na tatizo anajisikia sana (anazarau) ni 5G 30Mbps nimeletewa hiiRouter gani unatumia? Pia angalia ping kwenye speedtest.
Nimeakigaza 5G 30Mbps nimeletewa hii
View attachment 2611495
Sorry bro ping umemaaniaha vp jinsi ya kuangalia?
Bro speed inaishiaga 19Mbps tangu niipate j5 hadi Alhamisi ya jana. ila leo naona imeenda mara chache sana kwenye 25Mbps (yani ni mara chache sana!)Hiyo Router ni ya 4G.
Speed yako ya donwload inafika 25Mbps hadi 29Mbps?
Kwa macho tu mkuu hio ni 4g kama mdau juu alivyokwambiaTatizo mkuu Nimeagizia kwa mtu wa kati na tatizo anajisikia sana (anazarau) ni 5G 30Mbps nimeletewa hii
View attachment 2611495
Sorry bro ping umemaaniaha vp jinsi ya kuangalia?
Ya 4G ndio 20mbps na 5G ni 30mbpsIpo ivi yani according to him (mtu alonisaidia kujiunga supakasi ambaye nafkiri niwakala wa agent wa vodacom) alinishauri nichukue 5G sababu watu wengi alowaunga 4G wanamlalamikia inazingua iyo 4G ila nimeshangaa sasa 5G mbna haipiti speed ya 19Mbps. Sasa mimi sio mzoefu wa matumizi ya bandwidth nikaona nipitie kwa watu ambao naamin wanajua maswala haya.