TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Nyinyi mnafanyaje fanyaje speed inakua ivyo? Mimi kwangu ipo ivi, ni 2MB ikizidi ni 7MB kufika 10MB ni mara chache sana
View attachment 2609408

Mkuu hapo nilikuwa nimetumia Tigo.
Siku hizi naona Voda inachangamoto kwenye speed huku kwangu ikipanda sana ni 13mbps muda wa mchana usiku kuanzia saa saba ndio inafika 18mbps.
 
240k ndio malipo ya kila mwezi au ni initial investment tu? Fafanua hapo
240k ni security fee ya mkataba yaani ukilipia iyo ni kwaajiri ya miezi miwili ya mwisho wa mkataba kati ya miezi 12. Baada ya apo unalipia kila mwisho wa mwezi 120k ila ikifika miezi ya mwisho miwili hautolipia tena sababu ulishalipa kwenye security fee.

Kama umeanza tarehe 1/1/2023 unalipa security fee 240k kwenye mkataba then 1/2/2023 unalipia 120k kwaajiri ya bando ulotumia January then unaendelea kufanya ivyo kila mwisho wa mwezi ila mwisho wa mwezi November na December hutolipia coz umeshalipia kwenye security fee.
 
Mkuu hapo nilikuwa nimetumia Tigo.
Siku hizi naona Voda inachangamoto kwenye speed huku kwangu ikipanda sana ni 13mbps muda wa mchana usiku kuanzia saa saba ndio inafika 18mbps.
Unamaanisha ukiweka line ya Tigo kwenye router yao ina function hama? Maana nimezani unatumia vodacom supakasi
 
Unamaanisha ukiweka line ya Tigo kwenye router yao ina function hama? Maana nimezani unatumia vodacom supakasi

Laini Ya Tigo natumia kwenye simu siweki kwenye router yao ukiweka laini tofauti na voda haisomi mule.

Inaonekana unapokaa wewe mtandao wa Voda unasumbua
IMG_1635.jpg

Ukilogin kwenye router yako utakutana na hizi mambo.
Angalia kwenye
RSRQ The lower the better ikiwa juu ya 20 hali ni mbaya zaidi,
SINR ikiwa kubwa ndio nzuri,
Signal Strength ikiwa katikati ya -90dBm hadi -95dBm hapo utapata 20mbps yote. Ila ukipata >-90dBm inakuwa magoli zaidi.
 
Mkuu huduma ziko vizur japo wafanyakazi wananyodo sana mimi nimetuma huduma ya kupandishiwa 5G Huyu mtoa huduma wangu anajisikia sana ila kuhusu speed wako vizuri sana
IMG_0002.png

Hii nimepima muda huu na hapo nimeconnect divice
IMG_0003.png

Na device zote zinachapa kazi
 
Mrejesho kwa changamoto yangu... Leo imeishia wiki ya 3 sasa Vodacom Supakasi ndo wameniletea Router yao.

Kwanza kabisa nililipia 5g kwa shilingi 240,000/= badala yake kufungua mzigo kumbe wameniletea wa 4g (nimeshapeleka malalamiko sijui itachukua siku ngapi kunijibu kama tu kuleta huduma wame delay siku 18)

Hawa wajinga nime wa-mind sana afu hata iyo 4g yao ipo slow inapanda na kushuka kwanye ku download ipo around 2MB to 5KB per second na sometimes hakuna network kabisa. Speed ni nzuri ila kwa kazi niliotaka kufanyia kama mteja nilietegemea walau 10Mb/s au 5Mb/s wameniangusha sana.

Nilicho jifunza kuusu delay ni hawa ma agent sio waaminifu nilichogundua wanasubilisha order yako ili tu wafanye timing ya kamishen yao hawana lolote wanasingizia vifaa havipo kama vile wao ni tanesco wakati watu tunatoa hera nyingi. Kwa ufupi huduma ya Vodacom supakasi ni ovyo tofauti na hera unayolipia [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Weka kwenye simu unga hotspot. Ndio utaenjoy speed
 
ivi wakuu kwa anayetumia package ya 5G vodacom supakasi ya 120,000/=unajuaje kama kwl umeletewa 5G na sio 4G ya 115,000/= ukiachana na kupima speed kama inafika 30Mbps?
 
ivi wakuu kwa anayetumia package ya 5G vodacom supakasi ya 120,000/=unajuaje kama kwl umeletewa 5G na sio 4G ya 115,000/= ukiachana na kupima speed kama inafika 30Mbps?
Router gani unatumia? Pia angalia ping kwenye speedtest.
 
Hiyo Router ni ya 4G.
Speed yako ya donwload inafika 25Mbps hadi 29Mbps?
Bro speed inaishiaga 19Mbps tangu niipate j5 hadi Alhamisi ya jana. ila leo naona imeenda mara chache sana kwenye 25Mbps (yani ni mara chache sana!)
 
Ipo ivi yani according to him (mtu alonisaidia kujiunga supakasi ambaye nafkiri niwakala wa agent wa vodacom) alinishauri nichukue 5G sababu watu wengi alowaunga 4G wanamlalamikia inazingua iyo 4G ila nimeshangaa sasa 5G mbna haipiti speed ya 19Mbps. Sasa mimi sio mzoefu wa matumizi ya bandwidth nikaona nipitie kwa watu ambao naamin wanajua maswala haya.
 
Tatizo mkuu Nimeagizia kwa mtu wa kati na tatizo anajisikia sana (anazarau) ni 5G 30Mbps nimeletewa hii
View attachment 2611495
Sorry bro ping umemaaniaha vp jinsi ya kuangalia?
Kwa macho tu mkuu hio ni 4g kama mdau juu alivyokwambia

Kwa feedback za Wadau humu 5G inakuja na Nokia Fastmile ipo kama hivi

images.jpeg-34.jpg

Ipo ivi yani according to him (mtu alonisaidia kujiunga supakasi ambaye nafkiri niwakala wa agent wa vodacom) alinishauri nichukue 5G sababu watu wengi alowaunga 4G wanamlalamikia inazingua iyo 4G ila nimeshangaa sasa 5G mbna haipiti speed ya 19Mbps. Sasa mimi sio mzoefu wa matumizi ya bandwidth nikaona nipitie kwa watu ambao naamin wanajua maswala haya.
Ya 4G ndio 20mbps na 5G ni 30mbps
 
Back
Top Bottom