TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

S
Voda wanakasi nzuri ila ni gharama TTCL hawana kasi nzuri na mtandao kupotea potea kwao ni kawaida ila vifurushi vyao nj unlimited
Shukuran sana. Voda je sio unlimited?
 
Router wanayotoa inakubali kuunganisha kwa waya (Ethernet)? Model gani?
 
Kwa uzoefu wangu leo umetimia mwez mzima tukiwa na mradi wa fibre ya ttcl ikiwa kwa ofisi ,package inayolipiwa ni ya laki hio speed n nzur ila kuna ka tabia ka kuminya sometimes so vpn inatatua ila sio mara kuna mda adi video za resolution ya 1444 kama sijakosea ile zaidi ya 1080 zinakua zina ganda ganda
 
Ofisi mnatumia wengi mkuu? Unaweza kuibia muda hakuna watu ofisini kama unapata full speed? 100mbps?
 
Hiyo ni fibre au unapewa tu moderm?

Manake hata mtu akiwa kibaha ambapo hakuna fibre anaweza unganishwa na hii huduma?
 
Asee bongo nyoso, wateja si wachache wa fibre inakuaje wanaminya.

Je, wanaminya kwa muda gani? Siku? Masaa? Wiki?
 
Asee bongo nyoso, wateja si wachache wa fibre inakuaje wanaminya.

Je, wanaminya kwa muda gani? Siku? Masaa? Wiki?
Inategemea. Ofisi yetu haina watu wengi tuko ,13super user ni mimi na baadhi hata smartphone hawatumii .kiufup ni wapuuz yaani youtube kuna mda 720 haiplay na mradi umekata pesa ndefu zaidi ya km3 mzee kuweka kila kitu sio mchezo
 
Dah! Majanga. Basi nachukua copper ya 25k nione. Wakiwa na soo nasepa
 
mimi nmeambiwa kuvuta fiber cable ttcl mpka hapa nlipo nikaribia milioni 4 alafu umbali na fiber ya ttcl ilipo ni chini ya 1km sasa sjui izi charges ni kweli au vipi

Inawezekana ni kweli mkuu maana nilisikia ni ghari sana hii fiber
 
Ni unlimited? Gharama zikoje?

Na mpaka wana advertise router ya simcard hio si fiber
Mm ninajua wametandaza fibre Tanzania nzima ndo mana nasema hivyo niliwahi kwenda ofisini kwao kipindi nipo morogoro wakaniambia bei mpaka waje kufanya survey
Hapa nilipo luna fibre 3 zimepita halotel. Voda na Ttcl
 
Hizo ni fiber za minara mkuu, kuunganisha mnara mmoja na mwengine, halafu mtu wa kawaida unapata Internet toka kwenye mnara ndio maana unahitaji line.

Fiber yenyewe unakuja waya kama waya huhitaji line, na kama mtaani upo mwenyewe unaetaka fiber ndo hapo unasikia wanakwambia kuileta itacost milioni kadhaa.
 
Ndio hizo hizo wameniambia laki 7.5 20mbps omg
 
2.5 mb/s alafu ni dedicated speed
Installation $500 kwa km 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…