TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

fiber ya ttcl na zuku zimefika kimara kwa anayejua kama vipi niunganishe haya masuala ya bundle za vipimio kama mafuta ya kidebe nimechoka hamna raha kwa bundle la kupima
Wako Sana mbezi beach na sinza and tabata saiz route ya uko Bado Bado kdg ila soon watfka
 
nimewacheki hapa ttcl kwa namba yao wakanipa namba nikapiga wamesema kimara wapo hadi mlandizi wamefika mana pia wamechukua detail zangu wamesema watanipigia ili surveyor aje
namba yao ni hii kwa ttcl fiber 0733000060 ukipiga hii watakueleza kila kitu
Ttcl unyama sana saizi hope utapatiwa huduma nzuriii mkuu
 
nimewacheki hapa ttcl kwa namba yao wakanipa namba nikapiga wamesema kimara wapo hadi mlandizi wamefika mana pia wamechukua detail zangu wamesema watanipigia ili surveyor aje
namba yao ni hii kwa ttcl fiber 0733000060 ukipiga hii watakueleza kila kitu
Yaaani kama shm uliopo akuna nguzo za umeme straight utatakiwa kulipia fibre cable nahc

So option kubwa skuhz ni
Ttcl fibre
Vodacom supakasi

Awa wa supakasi wamenifungia apa kwanza karbu na st clarec school speed unyama sana sema Bei ndo hvo

Kama utakua interested nayo waeza mchek uyu dgo 0744355811 anauza Io huduma ya supakasi internet toka Vodacom
 
mkuu hii ni unlimited au ndo zile unlimited za kupima unapewa 60gb au 200gb nieleweshe boss
 
Yaaani kama shm uliopo akuna nguzo za umeme straight utatakiwa kulipia fibre cable nahc

So option kubwa skuhz ni
Ttcl fibre
Vodacom supakasi

Awa wa supakasi wamenifungia apa kwanza karbu na st clarec school speed unyama sana sema Bei ndo hvo

Kama utakua interested nayo waeza mchek uyu dgo 0744355811 anauza Io huduma ya supakasi internet toka Vodacom
hapa kwangu nguzo zimepita karibu so fibre cable ndo sijui ila wao wamesema bure
 
Yaaani kama shm uliopo akuna nguzo za umeme straight utatakiwa kulipia fibre cable nahc

So option kubwa skuhz ni
Ttcl fibre
Vodacom supakasi

Awa wa supakasi wamenifungia apa kwanza karbu na st clarec school speed unyama sana sema Bei ndo hvo

Kama utakua interested nayo waeza mchek uyu dgo 0744355811 anauza Io huduma ya supakasi internet toka Vodacom
mkuu nikipata hii ya ttcl hawa mitndao ya simu watanisikia kwenye bomba aiseeee then mie naona mitandao ya simu nao hawajiongezi kuhusu hili suala la fiber watu tunataka big data
 
Voda ana fiber ila Iko limited to buildings koz ye anapita chini ya ardhi yupo mliman,sky city mall, tanzanite tower,derm plaza,clock tower ayo ni kdg nayokumbuka kua ana fiber home ila ttcl fibre zake anapita chn then anatoa anapitisha fiber cable wire juu ya nguzo za umeme ndo utofauti wao
 
Ttcl kunbe wanatumia advantage ya nguzo za umeme
 
ttcl fiber kifurushi cha 100,000/-

20mbps up, 40mbps down
Screenshot_20220727-154050_Speedtest~2.jpg
Screenshot 2022-07-26 100647_100854.png
 
Basi TTCL wakishindwa kuitumia hiyo fursa ku supply internet kote na kuteka soko la internet nitawaona wajinga
Watakuwa wapuuzi wa karne maana biashara sikuhizi iko kwenye internet wala sio Voice ama Sms. Sahizi almost kila mtu wa mjini ana uFahamu juu ya mtandao na matumizi yake hali iliopelekea demand curve ya internet kupaa sana against calls na sms.

Voip iko kwenye application zaidi.
 
Hata wakijiongeza watakuwa aghali zaidi sababu miundombinu yake ina cost zaidi

Back
Top Bottom